Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Screenshot_20201015-130304.jpg
 
Hapa ndipo treni ya umeme itasimamia yn mtu anatoka Dar asubuhi anawahi kunywa chai Morogoro af anarudi Dar kula chakula cha mchana bila kuchoka yn kitu hakina mtikisiko km ndege vile.

Tz bhn inatisha sana kimkakati, kule kwenye usafiri wa mabasi yamewekwa mastendi makubwa makubwa yenye kuzd mpk airport za nchi jirani cz watu wanakuwa wamechoka sn ila hz stesheni za sgr ni ndogo ndogo tena modern kabisa cz hazitaruhusu msongamano kabisa, wallahi watu waje wasome Tz [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
kumbe wanazifatilia hizo updates
Yani wanawaza ile mbaya itakuwaje zikingia trains ....watatoweka Jf mwezi hawa kunguni [emoji1787][emoji1787][emoji849]
 
Hatujamaliza mmesha anza kulia...Subilieni ya Dodoma
Kwa akili yako Morogoro Ni mji mkubwa kuliko Dodoma na Mwanza...?? Subilia za miji hiyo miwili ujeulie vizuri...[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Naombeni render ya Dodoma station walie vizuri..[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
tapatalk_1594496768341.jpeg
 
Back
Top Bottom