Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
- Thread starter
-
- #8,641
Hii station mbona inatosha kabisa kwa idadi ya watu wa Morogoro ukubwa wake sidhani kama inapungua 8000 sq m!Hapa ndipo treni ya umeme itasimamia yn mtu anatoka Dar asubuhi anawahi kunywa chai Morogoro af anarudi Dar kula chakula cha mchana bila kuchoka yn kitu hakina mtikisiko km ndege vile.
Tz bhn inatisha sana kimkakati, kule kwenye usafiri wa mabasi yamewekwa mastendi makubwa makubwa yenye kuzd mpk airport za nchi jirani cz watu wanakuwa wamechoka sn ila hz stesheni za sgr ni ndogo ndogo tena modern kabisa cz hazitaruhusu msongamano kabisa, wallahi watu waje wasome Tz [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Wooshiiiii naona nyaya hapo.
Cc Teargass asvptx Edward Wanjala Yule-Msee NairobiWalker pingli-nywee Nicxie komora096 At254 Mashashola Magix Enga mwaswast MK254 Tony254
Angalia nyaya hzo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
ujani umemea na unapendeza masai na mgogo wasijelisha ng'ombe tuu!
Base on you manner that is what you deserveNo grown man says "frick".
Secondly I'm a martian, I got no "fellow" with puny earthlings of your sort
Hizi picha ndizo zinazofanya huu uzi usitembee sana tangu zimewekwa humu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ujenzi wa hili jengo utaanza karibuni[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1601467
Noma sana. Ila nakumbuka mwanzo tuliambiwa kuwa traki nzima itakuwa fenced. Sasa sijui wamekubaliana vinginevyo au vipi.ujani umemea na unapendeza masai na mgogo wasijelisha ng'ombe tuu!
Kwani kama fence itawekwa hapo au mwanzo na baada ya mlima?Noma sana. Ila nakumbuka mwanzo tuliambiwa kuwa traki nzima itakuwa fenced. Sasa sijui wamekubaliana vinginevyo au vipi.
Kama na wao wanamilik REAL SGR embu wafanye hivyohii ndo SGR
Kagio market View attachment 1604240
Kuja kwenye thread ya Dar vs Nairobi zen tuanze kuongelea kuhusu Market [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Gikomba marketView attachment 1604239