Hapa ndipo treni ya umeme itasimamia yn mtu anatoka Dar asubuhi anawahi kunywa chai Morogoro af anarudi Dar kula chakula cha mchana bila kuchoka yn kitu hakina mtikisiko km ndege vile.
Tz bhn inatisha sana kimkakati, kule kwenye usafiri wa mabasi yamewekwa mastendi makubwa makubwa yenye kuzd mpk airport za nchi jirani cz watu wanakuwa wamechoka sn ila hz stesheni za sgr ni ndogo ndogo tena modern kabisa cz hazitaruhusu msongamano kabisa, wallahi watu waje wasome Tz [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]