Nimeskia mtu anasema "inaeda bio"!
ile ya dar imeishia wapi. kulikuwa na routes 5 nahisi.
Dodoma commuter rail study commissioned
TANZANIA: Tanzania Railways Corp has awarded an international consortium a €2·5m nine-month contract to undertake feasibility and preliminary design studies for a commuter rail network in the capital Dodoma. The consortium is led by Spanish consultancy Ardanuy Ingenieria and includes...www.railwaygazette.com
bado ipo kwenye plan nadhani wanaendelea kujipanga!ile ya dar imeishia wapi. kulikuwa na routes 5 nahisi.
HV Wakenya ata hii MGR mlipigwa Nini...mbona yetu haitoi Moshi kiasi hichi
nakumbuka kuna kpuni ya SA walifanya feasibiliy studybado ipo kwenye plan nadhani wanaendelea kujipanga!
Feasibility study ishafanywa na kampuni moja ya Sauzi 266km. Kilichobaki ni utekelezaji. Mradi umelenga 2035 na unahitaji pesa mingi maana Kadogosa alidokeza kuwa njia nzima yaweza kuwa viaduct! Hivyo inatakiwa kujipanga vizuri.ile ya dar imeishia wapi. kulikuwa na routes 5 nahisi.
Chuma hakina Masihara kabisa...by 2025 atakua kakimaliza kipande chote cha Dar mpaka Mwanza.China yajitosa ujenzi wa reli ya SGR
WEDNESDAY JANUARY 06 2021
Summary
- Waziri Kabudi amesema Waziri Wang Yi atakuwa na mazungumzo binafsi na Rais Magufuli na mazungumzo na ujumbe wa Serikali.
By REHEMA MATOWO
More by this Author
Chato. Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya China, Wang Yi anatarajiwa kutua nchini Tanzania kesho Januari 7, ambapo pamoja na mambo mengine atashuhudia utiaji saini mkataba wa ujenzi wa awamu ya tano ya reli ya kisasa (SGR) inayotoka Mwanza hadi Isaka yenye urefu wa kilometa 341.
Kwa sasa ujenzi wa reli hiyo kutoka Dares Salaam hadi Mwanza unatekelezwa na kampuni ya Yapi Merkezi.
Akizungumza na waandishi wa habari wilayani Chato leo Januari 6, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Profesa Palamagamba Kabudi amesema awamu hiyo ya ujenzi itagharimiwa na Serikali ya Tanzania kwa jumla ya Sh3.0617trillion na itajengwa na kampuni mbili kutoka nchini China.
Pia, Profesa Kabudi amesema Waziri huyo atakayetua katika uwanja wa ndege wa Chato Januari 7 jioni, atafanya mazungumzo na Rais John Magufuli na kuzindua chuo cha ufundi wilayani Chato na kutembelea mwalo wa ziwa Victoria wilayani humo kuangalia shughuli za uvuvi.
Amesema Waziri Wang Yi yupo kwenye ziara ya siku tano katika bara la Afrika ambapo kwa Tanzania atakuwepo kwa siku mbili akishiriki mazungumzo binafsi na Rais John Magufuli kisha kufanya mazungumzo rasmi ya kiserikali ya yeye na ujumbe wake.
China yajitosa ujenzi wa reli ya SGR
Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya China, Wang Yi anatarajiwa kutua nchini Tanzania kesho Januari 7, ambapo pamoja na mambo mengine atashuhudia utiaji saini mkataba wa ujenzi wa awamu ya tano...www.mwananchi.co.tz
Itakuwa ni maajabu sn kwakweli, ten years electric sgr from Dar to Mwanza, si mchezo.Chuma hakina Masihara kabisa...by 2025 atakua kakimaliza kipande chote cha Dar mpaka Mwanza.
Hapo imebaki lot moja tu ya kutoka Makutupora mpaka isaka km 426 iv...Yapi nadhani kujivuta vuta kwao kumewakosesha hii lot.Itakuwa ni maajabu sn kwakweli, ten years electric sgr from Dar to Mwanza, si mchezo.
nakumbuka niliwaambiaga majirani kutangulia si kufika kwenye ujenzi wa SGR imagine tunaenda kusainisha mkataba wa SGR phase III lot 5 huku mafalamanga alias mapopoma yakishindwa kuendelea na ujenzi!Itakuwa ni maajabu sn kwakweli, ten years electric sgr from Dar to Mwanza, si mchezo.