Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

That's a track length i.e. 250km of main line plus 91 km of parallel length! At a cost of $1.3 bln for electrical SGR!

Mind you Nairobi-Naivasha diesel SGR was 120 km and built at a cost of $1.5 bln!
Hard terrain plus land payments za wenyeji,
Plus am sure hii yenu nikama ya Ethiopia,cheap but expensive (class2)

Then Mombasa to Nairobi Ni 601km.
Nairobi suswa 217km
 
Wino Tayari

IMG_4664.jpg
 
Waturuki sio waarabu bali ni wazungu sema hawapo kwenye European Union [emoji1099], au ushasahu Uturuki inacheza UEFA [emoji23] au sio mpenz wa mpira

Sio wazungu mzee....
 
Hard terrain plus land payments za wenyeji,
Plus am sure hii yenu nikama ya Ethiopia,cheap but expensive (class2)

Then Mombasa to Nairobi Ni 601km.
Nairobi suswa 217km

[emoji23][emoji23][emoji23] maana yake ni kwamba gharama ya land payment ni kubwa kuliko gharama ya ujenzi wenyewe [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Twice the track Length less the construction cost...hii sasa ndio power of negotiations.
Wakenya hawawezi kuwa na bargaining power maana kila kitu hufanywa na mchina. Kuanzia pre-feasibility, feasibility study, preliminary design, detailed design, construction, financing, & operating! Sasa hapo ni lazima tu watapigwa.

Tofauti na sisi ambao tumekwisha fanya feasibility study kwa mtandao wa reli nchi nzima. Kuanzia kaskazini mpaka kusini. Tunajua kila mradi unahitaji nini na gharama yapaswa kuwa kiasi gani. Financing haina uhusiano na tendering! Hapo lazima tulambe dume.
 
Hapo imebaki lot moja tu ya kutoka Makutupora mpaka isaka km 426 iv...Yapi nadhani kujivuta vuta kwao kumewakosesha hii lot.
Mimi nadhani kuwa ishu ya kuwapa wachina imekaa "kidiplomasia" na "kimkakati" zaidi. Sidhani kama serikali hairidhiki saaana na kazi ya Yapi.

Ukiangalia namna walivyoathiriwa na mvua msimu uliopita na hali ya kiuchumi dunia inapitia, nadhani ilikuwa ni lazima tu wafanye rescheduling ili mradi usijewaingiza hasara. Ikumbukwe pia kuwa bei yenyewe iko very tight hivyo ni lazima tu waepuke plan zitakazo-raise costs.

Nadhani tumewapa wachina ili kudumisha urafiki wetu. Iko dhahili kuwa kwa kuzingatia mwenendo wa mahusiano yetu na mabeberu wa kimagharibi ni muhimu kuwa na urafiki na huyu beberu rafiki.
 
When JPM gets the best out of Yapi Merkezi and CCECC


Screenshot 2021-01-09 09.09.53.png





Screenshot 2021-01-09 09.09.18.png


Screenshot 2021-01-09 09.09.33.png
 
Back
Top Bottom