Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Kwhyo yale mabehewa ya double stack mlio oder mtayapeleka wapi[emoji23][emoji23][emoji23]

Kweli mturuki kiboko, km huna hela ya kujitengezea kitu tulia bana..

Electric trains double stack zitele[emoji23][emoji23]
In africa double utaikuta kenya na sgr dume[emoji23][emoji23]
Kweli ccm kawapumbaza
Nioneshe electric train double stack ukiacha ile mitungi inayotaka kuanza kule India, ukipata nijulishe.
 
Kwnn unaiita sgr dume au ndo inferiority complex [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji90][emoji90][emoji205][emoji205]
 
Nioneshe electric train double stack ukiacha ile mitungi inayotaka kuanza kule India, ukipata nijulishe.
Kwhyo leo mnakataa wakati juzi mlipinga nilipowaambia mturuki kawapinga kw nguzo ju haziwezi pitisha double stack[emoji23][emoji23]..

Kwhyo india ipo nje ya dunia sio
 
Vitu km hivi mtaviskia ma redioni tu
images.jpeg-1.jpg
 
Nimecheka sana wallahi, yn vita ya sgr imewashinda wameamua kuja na double stack theory huku wanajua kabisa yetu sio lazima iwe double stacked so as to be efficient [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Dude lao linatoa moshi sio mchezo. Alafu linagonga sijui hawaunganisha michuma ile.
 
Tumewaajiri wajenge tunawalipa sasa support from China kivipi ?propagandists wakikenya wanaboa
huwa hawana sera wana propaganda za kishamba kila kitu kipo wazi...huwa wanajihangaisha tu[emoji1787][emoji1787]
 
Nilisema hapa, muda si mrefu tutaanza kuongea lugha moja. Mpaka propaganda za kipuuzi kama hizi zinaanza ujue na wao washatuona tukiwaomba sight.

This guy only wrote this article only because his boss Aga Khan wants him to do .....so he did that with a very bitter heart ...the serial fool did that not knowing is significantly slashing his lifetime [emoji23][emoji23][emoji23]
IMG_8259.jpg

IMG_8260.jpg

IMG_8261.jpg

IMG_8262.jpg

IMG_8263.jpg

Magufuli secures $1.32b China support for Tanzania SGR
 
Back
Top Bottom