Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

View attachment 1678154
Hii ni ya 70s nyinyi mkajengewa miaka hii. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Gari moshi,
Katafutwa kwa standard ya karne hii sio ya 70s
Mchina katafutwa[emoji116][emoji116]
images.jpeg-2.jpg
 
View attachment 1678154
Hii ni ya 70s nyinyi mkajengewa miaka hii. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Gari moshi,
Katafutwa kwa standard ya karne hii sio ya 70s
Katafutwa aisee[emoji23][emoji23][emoji23]
Mturuki keshawapiga, sai kisha ndio hana haraka manake keshajua ashakula mpunga wa kutosha..
Shobo za kijinga kwa kumpa phases mbili jamaa wa "european standards"[emoji23][emoji23]
Jamaa wameacha european standards kweli[emoji2960][emoji2960]
images.jpeg-9.jpg
images.jpeg-7.jpg
 
Katafutwa aisee[emoji23][emoji23][emoji23]
Mturuki keshawapiga, sai kisha ndio hana haraka manake keshajua ashakula mpunga wa kutosha..
Shobo za kijinga kwa kumpa phases mbili jamaa wa "european standards"[emoji23][emoji23]
Jamaa wameacha european standards kweli[emoji2960][emoji2960]View attachment 1678243View attachment 1678246
Imekaa kama majengo ya kisoviet. No modernity
 
Imekuingia hyo[emoji23][emoji23]
Mumepigwa
Hiyo ni "intro-" tu mzee, bado "-duction". Ya Morogoro tushaiona. Ya Dom ndiyo itafunika hizi zote. Kisha itakuja ya Rock City ambayo kwa jinsi tulivyo wabishi tunaweza taka ifanane na Sangara au ule mwamba aka "Rock" unaoipa Mwanza nick name yake.

Nyie endeleeni kwanza kupata wadahamini UhuRuto; wanabishana zamu ya kabila gani kuongoza. JPM anawapiga bakora tu. Soon hata M7 ataanza kuwakimbiza.
 
Katafutwa aisee[emoji23][emoji23][emoji23]
Mturuki keshawapiga, sai kisha ndio hana haraka manake keshajua ashakula mpunga wa kutosha..
Shobo za kijinga kwa kumpa phases mbili jamaa wa "european standards"[emoji23][emoji23]
Jamaa wameacha european standards kweli[emoji2960][emoji2960]View attachment 1678243View attachment 1678246
Mbn hujiamini [emoji3][emoji3]

Km unapost picha kwa minajili ya kushindana we sema na cc tutupie [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji90][emoji90][emoji205][emoji205]
Screenshot_20210115-173936.jpg
 
Kwamba milango unatumia power au inafunguka yenyewe, tuanzie hapo kwanza ili tujue ipi inakaa airport na ipi inakaa workshop [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji90][emoji90][emoji205][emoji205]
Sgr 1.PNG

Mbona milango ijifunge??????
 
Back
Top Bottom