The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 41,015
- 93,277
Hizi excuses ni za kipuuzi kabisa na huwa zinatolewa na nchi zenye umeme wa mafungu, nenda developed countries huko uone mambo ni kujifunga na kujifungua zenyewe, na hapo ndipo tulipofika sisi Watz.Upo wazi hadi time ya kufunga usiku. we ukiona mlango ufungwe vipi na si ofisi.
We fikiria, watu wanapitia wangapi kwa mlango kama huo na baada ya muda upi?
Mlango huo utafungwa na kufunguka mara ngapi ????
maana yake itakuwa ni ipi??
View attachment 1679760
umeulizwa ina maana ipi wacha longo longo mingiHizi excuses ni za kipuuzi kabisa na huwa zinatolewa na nchi zenye umeme wa mafungu, nenda developed countries huko uone mambo ni kujifunga na kujifungua zenyewe, na hapo ndipo tulipofika sisi Watz.
Jengo lenu halina air conditioner?!Mbona mlango ufungwe wakati watu wanaingia station?
That warehouse, modern garage.Jengo lenu halina air conditioner?!
aawapii air condition watambe? hiyo ni warehouse babu!Jengo lenu halina air conditioner?!
π€£π€£π€£π€£aawapii air condition watambe? hiyo ni warehouse babu!
Naomba waje kudhibitisha hili.dah!!!aawapii air condition watambe? hiyo ni warehouse babu!
Green building. Green buildings utilities natural lighting and air conditioningNaomba waje kudhibitisha hili.dah!!!
Maana gn? Ukiona hvyo mana ake tuna umeme wa kutosha, so idadi ya watu has nothing to do with kujifunga na kujifungua cz umeme upo, tuna umeme mwingi mpk unamwagika na bado tunaongeza vyanzo vingi vingine [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90]umeulizwa ina maana ipi wacha longo longo mingi
Hawana umeme [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Jengo lenu halina air conditioner?!
Kuna video moja jamaa anafukuza inzi kwenye sehemu ya kulia chakula Mombasa terminusπ€£.Matatizo kama haya.Siamini majengo makubwa kama haya tena ya public yenye facilities nyingi hayahitaji ku-regulate hewa ndani.you need chillers buda,ukute watu wamelala mbele na hiyo package.Green building. Green buildings utilities natural lighting and air conditioning
View attachment 1679975
Aawapi those steels n unfriendly to disabled stairs aside polluting SGR diesel engines put ur terminal out of green terminal category!Green building. Green buildings utilities natural lighting and air conditioning
View attachment 1679975
Duh πππAawapi those steels n unfriendly to disabled stairs aside polluting SGR diesel engines put ur terminal out of green terminal category!
What about the blue ramps.Aawapi those steels n unfriendly to disabled stairs aside polluting SGR diesel engines put ur terminal out of green terminal category!
that's a temporary wooden structure meaning during planning the disabled were not underconsideration!What about the blue ramps.
View attachment 1680957
It is not. Is that how you see it???that's a temporary wooden structure meaning during planning the disabled were not underconsideration!
peleka upumbavu!It is not. Is that how you see it???
That ramp is concrete and was done when the stairs were being done.
There is nothing temporary there.
SGR Phase II : 52% n counting!