Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Upo wazi hadi time ya kufunga usiku. we ukiona mlango ufungwe vipi na si ofisi.

We fikiria, watu wanapitia wangapi kwa mlango kama huo na baada ya muda upi?

Mlango huo utafungwa na kufunguka mara ngapi ????

maana yake itakuwa ni ipi??
View attachment 1679760
Hizi excuses ni za kipuuzi kabisa na huwa zinatolewa na nchi zenye umeme wa mafungu, nenda developed countries huko uone mambo ni kujifunga na kujifungua zenyewe, na hapo ndipo tulipofika sisi Watz.
 
Hizi excuses ni za kipuuzi kabisa na huwa zinatolewa na nchi zenye umeme wa mafungu, nenda developed countries huko uone mambo ni kujifunga na kujifungua zenyewe, na hapo ndipo tulipofika sisi Watz.
umeulizwa ina maana ipi wacha longo longo mingi
 
Naomba waje kudhibitisha hili.dah!!!
Green building. Green buildings utilities natural lighting and air conditioning
20210117_211114.jpg
 
umeulizwa ina maana ipi wacha longo longo mingi
Maana gn? Ukiona hvyo mana ake tuna umeme wa kutosha, so idadi ya watu has nothing to do with kujifunga na kujifungua cz umeme upo, tuna umeme mwingi mpk unamwagika na bado tunaongeza vyanzo vingi vingine [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90]
 
Green building. Green buildings utilities natural lighting and air conditioning
View attachment 1679975
Kuna video moja jamaa anafukuza inzi kwenye sehemu ya kulia chakula Mombasa terminus🤣.Matatizo kama haya.Siamini majengo makubwa kama haya tena ya public yenye facilities nyingi hayahitaji ku-regulate hewa ndani.you need chillers buda,ukute watu wamelala mbele na hiyo package.
 
that's a temporary wooden structure meaning during planning the disabled were not underconsideration!
It is not. Is that how you see it???

That ramp is concrete and was done when the stairs were being done.

There is nothing temporary there.
 
Back
Top Bottom