The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 41,015
- 93,277
Hizi excuses ni za kipuuzi kabisa na huwa zinatolewa na nchi zenye umeme wa mafungu, nenda developed countries huko uone mambo ni kujifunga na kujifungua zenyewe, na hapo ndipo tulipofika sisi Watz.Upo wazi hadi time ya kufunga usiku. we ukiona mlango ufungwe vipi na si ofisi.
We fikiria, watu wanapitia wangapi kwa mlango kama huo na baada ya muda upi?
Mlango huo utafungwa na kufunguka mara ngapi ????
maana yake itakuwa ni ipi??
View attachment 1679760