Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

BTW hivyo vichwa hapo juu si vya treni ya mizigo
 
Ni hao wakenya wameongeza cha juu, ndio maana hata bajeti yao ni uozo maana hela nyingi huishia mifukoni mwa mbwa mwitu. Hawa jamaa ni majanga!
tofauti ya rushwa ya Kenya na Tanzania, ilielezwa na rais nyerere, alisema Tanzania wanakula rushwa halafu kazi haifanyiki, Kenya wanakula rushwa, I promise you hujaiona hii reli, nzuri naa inafanya kazi, kwa hiyo shut up
 
Acha kumsingizia Nyerere kwenye mambo ya upumbavu!
 
Ujenzi wa Daraja la SGR line kwenda directly ndani ya bandari mpya ya Mombasa iliojengewa ndani ya bahari..

Meanwhile, phase 2A kuelekea naivasha inazidi kusonga, timeline yao imepunguzwa na mwaka mmoja na nusu kwahivyo hakuna kupoteza masaa.

Wananchi wote wanaofaa kulipwa fidia ya ardhi itakayotumika wameshatambuliwa wote sasa kilichobaki ni shughuli ya kulipa na kuwaondoa
 
Naomba Tanzania tusje nakelele za nusu bei tukatengeza reli enye expansion joints kaa hostel za udsm
 
Naona mandugu zetu Tanzania wakililia kwa choo. HHizo hela za project hamna na tender ya electric train mshaifloat.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…