One man down[emoji23][emoji23][emoji23]Ww tulia wacha pupa, ushaambiwa double stack zitakuwepo ss utulie ili ujue Watz wana akili kiasi gani [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Umeelewa nilichokuuliza kweli au ndio umeanza kujitoa ufahamu..Kwamba ulitaka mizigo nayo ikae sehemu ya abiria auuu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mbona unachanganya ma file..cargo train ina-branch out at Ilala kwenda bandarini! Pitia old clips utaona, ila still double-decker coaches zinapita! hapo ni zaidi ya 16 feet!
View attachment 1686547
View attachment 1686548
View attachment 1686549
Najua unalazimisha unachoamini ila project zetu huwa hazina ubabaishaji!
Tatizo hujui hata heights za doublestack na pia hujui heights ya doubledecker! Tuliza mshono vitu vinakuja!Mbona unachanganya ma file..
Nani hapa kataja double decker coaches, we mzee naoma unaumwa sio kidogo
Mshono mbona upo kitambo tu unasubiria siku ya siku..Tatizo hujui hata heights za doublestack na pia hujui heights ya doubledecker! Tuliza mshono vitu vinakuja!
👆 🤣🤣🤣🤣👆Mshono mbona upo kitambo tu unasubiria siku ya siku..
We mzee kubali tu ya kwamba mumepigwa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1369][emoji1369][emoji1369][emoji23][emoji23][emoji23]Mshono mbona upo kitambo tu unasubiria siku ya siku..
We mzee kubali tu ya kwamba mumepigwa
Kjn hajaelew ulicho andik[emoji115] [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji115]
Hahahaaaa, umekubali au sio mama mshono[emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90]Mshono mbona upo kitambo tu unasubiria siku ya siku..
We mzee kubali tu ya kwamba mumepigwa
Kaelewa sn, kwa mademu mshono kwao ni kawaida [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kjn hajaelew ulicho andik
Nini mzee baba, na we pia wadaishaje kwani..Hahahaaaa, umekubali au sio mama mshono[emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90]
Geza ndio hajaelewa[emoji23][emoji23]Kjn hajaelew ulicho andik
Shika adabu yako mi si mzee!Nini mzee baba, na we pia wadaishaje kwani..
Naona kizere geza keshalemba
Hapo hazipiti treni za mizigo ndugu Tomaso! Junction kwa ajili ya reli ya mizigo ya kwenda bandarini iko nyuma kidogo mwanzoni mwa viaduct. Upo?Hapo ndipo yatapitia yale mabehewa 52 ya double stack mlioagiza sio, shikamoo mturuki
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Shika adabu yako mi si mzee!
Siwezi kushangaa, Magu anacheza chess kali sana..Ila haya mambo yasivyo tabirika unashangaa Mkorea katokea pasipo julikana kabeba naye kipande chake.
Haya manyang'au ni mafala sana. Yanajiona majanja kumbe ni vituko vitupu.yaani jamaa roho zinawauuma, mwanzo walikuwa wanadai reli yetu haitakuwa ya umeme baada ya kuona transmission line imekamilika wamezodka, pia walikuwa wanaponda stations saahii wamenyamazishwa! Sasa ubishi umebaki kwenye doublestack wagons, zikifika watakimbia humu ndani! Kisa hawataki kuamini Mchina aliwa-short change Kenya baada ya kuona ufala wao!
Kwhyo unamaana hichi kipande kw sasa hakina uwezo wa kubeba mizigo kisa bado kipande cha kuelekea badarini hakipoHapo hazipiti treni za mizigo ndugu Tomaso! Junction kwa ajili ya reli ya mizigo ya kwenda bandarini iko nyuma kidogo mwanzoni mwa viaduct. Upo?
Hahaha!!Shika adabu yako mi si mzee!
Wewe naye mgumu sana kuelewa. Ngoja nikuache ukae hivyo hivyo.Kwhyo unamaana hichi kipande kw sasa hakina uwezo wa kubeba mizigo kisa bado kipande cha kuelekea badarini hakipo