Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Ww tulia wacha pupa, ushaambiwa double stack zitakuwepo ss utulie ili ujue Watz wana akili kiasi gani [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
One man down[emoji23][emoji23][emoji23]
We tua tu manaje huna hoja mzee baba
 
Kwamba ulitaka mizigo nayo ikae sehemu ya abiria auuu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Umeelewa nilichokuuliza kweli au ndio umeanza kujitoa ufahamu..
Nengua baba[emoji23][emoji23]
Kata kabisa
 
Mbona unachanganya ma file..
Nani hapa kataja double decker coaches, we mzee naoma unaumwa sio kidogo
Tatizo hujui hata heights za doublestack na pia hujui heights ya doubledecker! Tuliza mshono vitu vinakuja!
 
Tatizo hujui hata heights za doublestack na pia hujui heights ya doubledecker! Tuliza mshono vitu vinakuja!
Mshono mbona upo kitambo tu unasubiria siku ya siku..
We mzee kubali tu ya kwamba mumepigwa
 
Mshono mbona upo kitambo tu unasubiria siku ya siku..
We mzee kubali tu ya kwamba mumepigwa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1369][emoji1369][emoji1369][emoji23][emoji23][emoji23]
 
yaani jamaa roho zinawauuma, mwanzo walikuwa wanadai reli yetu haitakuwa ya umeme baada ya kuona transmission line imekamilika wamezodka, pia walikuwa wanaponda stations saahii wamenyamazishwa! Sasa ubishi umebaki kwenye doublestack wagons, zikifika watakimbia humu ndani! Kisa hawataki kuamini Mchina aliwa-short change Kenya baada ya kuona ufala wao!
Haya manyang'au ni mafala sana. Yanajiona majanja kumbe ni vituko vitupu.
 
Hapo hazipiti treni za mizigo ndugu Tomaso! Junction kwa ajili ya reli ya mizigo ya kwenda bandarini iko nyuma kidogo mwanzoni mwa viaduct. Upo?
Kwhyo unamaana hichi kipande kw sasa hakina uwezo wa kubeba mizigo kisa bado kipande cha kuelekea badarini hakipo
 
Back
Top Bottom