DSM-Moro January Progress Updates
Tunaleta ukanjanja, wao waliposema tar fulani itakuwa tayari basi inapaswa iwe tayari sio stori za abunuwasi, kwani wakat wanatuahidi hawakujua km ni treni ya umeme.Kwa wale mnaosema kwa nini reli yetu imechukua muda mrefu, kumbukeni hii ni reli ya umeme, ni ya kisasa zaidi kwenye ukanda huu na hivyo mambo lazima yaende kwa uhakika.
Waswahili wanasema vizuri havitaki haraka.
Huu ni mradi wa design and build, mkandarasi anasanifu huku anajenga. Miradi kama hii mara nyingi huchukua muda mrefu/mfupi kuliko tarehe iliyotangazwa kuisha sababu kubwa kuwa ni changamoto ambazo wanakutana nazo wakiwa wanajenga.Tunaleta ukanjanja, wao waliposema tar fulani itakuwa tayari basi inapaswa iwe tayari sio stori za abunuwasi, kwani wakat wanatuahidi hawakujua km ni treni ya umeme.
Never ever compare that small thing you call a station to The Nairobi TerminusKwa wale mnaosema kwa nini reli yetu imechukua muda mrefu, kumbukeni hii ni reli ya umeme, ni ya kisasa zaidi kwenye ukanda huu na hivyo mambo lazima yaende kwa uhakika.
Waswahili wanasema vizuri havitaki haraka.
Ofcourse, Nairobi terminus is lesser quality that Dar's electrical SGR Terminal !Never ever compare that small thing you call a station to The Nairobi Terminus
Binafsi pamoja na kutamani kuona mradi unakamilika haraka iwezekanavyo, ninafarijika na quality ya reli inayojengwa. Hoja yako naona ina mashiko sana ikitazamwa kiundani.Huu ni mradi wa design and build, mkandarasi anasanifu huku anajenga. Miradi kama hii mara nyingi huchukua muda mrefu/mfupi kuliko tarehe iliyotangazwa kuisha sababu kubwa kuwa ni changamoto ambazo wanakutana nazo wakiwa wanajenga.
Kwa mfano ingekuwa mradi umeshasanifiwa tayari na mkandarasi kuingia kuujenga tu, basi inakuwa matatizo mengi tayari yanakuwa yanajulikana na yana ufumbuzi.
Mfano, eneo la Ruvu lilisumbua sana wakati wa ujenzi wa madaraja, ukihesabu vizuri pale pana madaraja kama 10 hivi kwa kuwa lile eneo ni korofi, ukijumlisha na changamoto za mvua za mwaka jana ujenzi wake haukuwa mwepesi sana.
Na huu sio mradi wa kwanza kuwa delayed.
0-15kmDSM-Moro January Progress Updates
We don't have a poorly built station like yours. Eventually, that station in Dar will be converted into a mall.Ofcourse, Nairobi terminus is lesser quality that Dar's electrical SGR Terminal !
see ur manual doors to automatic doors in our terminal!
Electric standard gauge railway ndio nini?budaa tunajenga "electric" standard gage railway ..... .....sisi sio level yenu plz jilinganisheni na reli ya Djibouti
Mturuki hajengi reli ya umeme anatandaza reli ya kiwango cha kueleweka..Kwa wale mnaosema kwa nini reli yetu imechukua muda mrefu, kumbukeni hii ni reli ya umeme, ni ya kisasa zaidi kwenye ukanda huu na hivyo mambo lazima yaende kwa uhakika.
Waswahili wanasema vizuri havitaki haraka.
Hii ikijengwa vivi hivi, kweli itapendeza.Upcoming Dodoma SGR Terminal
Sisi huwa tunaheshimu renders, itakuwa hivyo hivyo km stations za Europe, train inaingia ndani na abiria wanapanda humo humo.Hii ikijengwa vivi hivi, kweli itapendeza.
Kama umeitazama vizuri hii video, TRC Headquarters building inajengwa mbele kidogo ya Dodoma station at km 443.
Ni ile structure iliyokuwa ijengwe Dar? Au ni nyingine?Kama umeitazama vizuri hii video, TRC Headquarters building inajengwa mbele kidogo ya Dodoma station at km 443.
Hapana, hii itakua nyingine, ile ya Dar itabaki kama investment house, kwakua ni design and build inaweza kubadilika muonekano lakini HQ ya DOM itakua komesha majirani koko🙂Ni ile structure iliyokuwa ijengwe Dar? Au ni nyingine?