Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Kwa wale mnaosema kwa nini reli yetu imechukua muda mrefu, kumbukeni hii ni reli ya umeme, ni ya kisasa zaidi kwenye ukanda huu na hivyo mambo lazima yaende kwa uhakika.

Waswahili wanasema vizuri havitaki haraka.
Tunaleta ukanjanja, wao waliposema tar fulani itakuwa tayari basi inapaswa iwe tayari sio stori za abunuwasi, kwani wakat wanatuahidi hawakujua km ni treni ya umeme.
 
Huu ni mradi wa design and build, mkandarasi anasanifu huku anajenga. Miradi kama hii mara nyingi huchukua muda mrefu/mfupi kuliko tarehe iliyotangazwa kuisha sababu kubwa kuwa ni changamoto ambazo wanakutana nazo wakiwa wanajenga.

Kwa mfano ingekuwa mradi umeshasanifiwa tayari na mkandarasi kuingia kuujenga tu, basi inakuwa matatizo mengi tayari yanakuwa yanajulikana na yana ufumbuzi.

Mfano, eneo la Ruvu lilisumbua sana wakati wa ujenzi wa madaraja, ukihesabu vizuri pale pana madaraja kama 10 hivi kwa kuwa lile eneo ni korofi, ukijumlisha na changamoto za mvua za mwaka jana ujenzi wake haukuwa mwepesi sana.

Na huu sio mradi wa kwanza kuwa delayed.
 
Kwa wale mnaosema kwa nini reli yetu imechukua muda mrefu, kumbukeni hii ni reli ya umeme, ni ya kisasa zaidi kwenye ukanda huu na hivyo mambo lazima yaende kwa uhakika.

Waswahili wanasema vizuri havitaki haraka.
Never ever compare that small thing you call a station to The Nairobi Terminus
 
Huu ni mradi wa design and build, mkandarasi anasanifu huku anajenga. Miradi kama hii mara nyingi huchukua muda mrefu/mfupi kuliko tarehe iliyotangazwa kuisha sababu kubwa kuwa ni changamoto ambazo wanakutana nazo wakiwa wanajenga.

Kwa mfano ingekuwa mradi umeshasanifiwa tayari na mkandarasi kuingia kuujenga tu, basi inakuwa matatizo mengi tayari yanakuwa yanajulikana na yana ufumbuzi.

Mfano, eneo la Ruvu lilisumbua sana wakati wa ujenzi wa madaraja, ukihesabu vizuri pale pana madaraja kama 10 hivi kwa kuwa lile eneo ni korofi, ukijumlisha na changamoto za mvua za mwaka jana ujenzi wake haukuwa mwepesi sana.

Na huu sio mradi wa kwanza kuwa delayed.
Binafsi pamoja na kutamani kuona mradi unakamilika haraka iwezekanavyo, ninafarijika na quality ya reli inayojengwa. Hoja yako naona ina mashiko sana ikitazamwa kiundani.

Nadhani kuna jambo la kujifunza hapo kuhusu hii mbinu ya design and build huko mbele tuendako. Nadhani pia kuwa hiyo ndiyo changamoto inayowatesa kwenye eneo la kuanzia mwisho wa viaduct mpaka km 18. Ni wazi panawapasua kichwa. Kama design ingefanyika mapema henda ingekuwa tofauti.

All in all sioni mradi ukikamilika April. Yapi inabidi waanze kujitathmini kama wanatosha sana kwenye miradi yetu hapa tz hususani linapokuja suala la speed. Kuna vitu kama majengo havipaswi kuchukua muda mrefu sana. Pale kwenye martialling yard kwa mfano, bado pako nyuma sana.

My take: Still the best rail project in East & Central Africa.
 
Ofcourse, Nairobi terminus is lesser quality that Dar's electrical SGR Terminal !
see ur manual doors to automatic doors in our terminal!
We don't have a poorly built station like yours. Eventually, that station in Dar will be converted into a mall.

Well built public station is here in Nairobi. Uses Natural light and aeration.
Ek_r86bWkAE04Ep.jpg
 
Wana mgambo sycophancy is a nation anthem. They live and breath anything kenya. Its froth upon if a wana mgambo does not mention kenya in any grievances they encounter among themselfs.
 
Kwa wale mnaosema kwa nini reli yetu imechukua muda mrefu, kumbukeni hii ni reli ya umeme, ni ya kisasa zaidi kwenye ukanda huu na hivyo mambo lazima yaende kwa uhakika.

Waswahili wanasema vizuri havitaki haraka.
Mturuki hajengi reli ya umeme anatandaza reli ya kiwango cha kueleweka..
Au unataka kusema hyo reli ya mturuki train za diesel hazipiti
 
Back
Top Bottom