Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Burundi, Tanzania Seek to Raise $1.9 Billion for Railway Project​

By Desire Nimubona
16. Februar 2021, 06:24 MEZ

Burundi and Tanzania are seeking to raise $1.9 billion for a railway linking the two East African nations that could help landlocked Burundi boost its mineral exports, an official said.

“Now is the time to start fund-raising” for the 190-kilometer (118 mile) line from Musongati in Burundi to Tanzania’s Isaka, said Dieudonné Dukundane, executive secretary of Central Corridor, a government-backed agency that promotes regional transport development.


 
Bado wanamawazo ya stations za 60s na 70s enzi za TAZARA. Siku hizi stations ni multipurpose structures ili ku capitalise kwa idadi kubwa ya watu wanaopita hapo kwa kila siku. Mbona airports zote za kisasa zinafanya hivyo pia...
Hapa tunaongekea stesheni kukaa km mall[emoji1787][emoji1787]
Hzo mnazozungumzia zina sehemu maalum wala sio jengo zima eti likae km mall
 
Wapuuzi hao[emoji1787][emoji1787]
Anafikiria sisi tunaongelea vitu tusivyovijua, hapa tatizo ni mbna stesheni ikae km mall
 
Kwhyo metro maana yake sawa na county sio[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
St kayumba katika ubora wake
 
Hapa tunaongekea stesheni kukaa km mall[emoji1787][emoji1787]
Hzo mnazozungumzia zina sehemu maalum wala sio jengo zima eti likae km mall
Hawaelewi station za Kenya pia Zina malls na mikahawa lakini hazikai malls.🤣🤣
 
Maumivu ni makali sana upande wenu huna hoja Komora,Pole,Geza alishamalizana na nyinyi subirini treni yetu ije sijui mtasema inafanana na nini. Yenu ni mtungi wa chang'aa a.k.a mkebe a.k.a Tuk tuk[emoji23][emoji23][emoji23].
Mall like train station[emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…