Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Hamjambo humu ? SGR Dar-Moro tunafungua lini ?
Waluguru tunamengojea sana .
Tupo nyuma miaka miwili sasa au ndo Mvua [emoji41][emoji41]
Gharama zinapanda na hakuna anaejua
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
mchina ana balaa .. atakavyowakamua [emoji1438]‍♂️
1. deni la SGR
2. kuitawala ile express for 27 fcking years [emoji22]
 
Hamjambo humu ? SGR Dar-Moro tunafungua lini ?
Waluguru tunamengojea sana .
Tupo nyuma miaka miwili sasa au ndo Mvua [emoji41][emoji41]
Gharama zinapanda na hakuna anaejua
tupo nyuma 1yr kasoro ivi ,,,,mwaka huu tunamaliza shughuli kwani sehemu zilizobakia ni chache
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…