Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

empty containers at axle load of 25 tons ur SGR can't affrod fully loaded doublestack wagons!
Sometimes huwa inabidi ujiulize kama watu unao ongea nao ni watu ama ni program ya komputer ilioandikwa na mtoto.

Please explain to me how you arrived at that ridiculous conclusion? Tena naona kuna watu wame like hii comment yako, waambie pia wakusadie kujibu. I can't wait for this one!
 
Hahaha. Ilikuwa ianze mwezi wa sita sasa imesongezwa hadi mwezi wa nane. Aki nyinyi mna mchezo sana. Usishangae ikisongezwa hadi mwaka ujao wa 2022. SGR ya Kenya inapiga kati ya treni 11 hadi 14 kila siku between Mombasa and Nairobi wakati nyinyi mnacheza tu.
 
Wivu!!
 
axle load ya 25 tons haiwezibeba full doublestacked containers!
 
electrical SGR connection to Dar port explained
 
axle load ya 25 tons haiwezibeba full doublestacked containers!
Hii ni picha ya SGR ya Kenya. Angalia hizo wagons vizuri.

One double stack wagon has 2 axles. Each axle carries 25 tonnes meaning the two axles carry 50 tonnes. Two fully loaded 40 foot containers have total weight of 24 tonnes ×2 = 48 tonnes. So kama wagon moja inabeba maximum capacity ya 50 tonnes ilhali 2 (40 ft) containers zina uzito wa 48 tonnes basi mbona unasema kwamba train haiwezi kubeba double-stack containers zikiwa zimejaa?

Nionyeshe nimekosea wapi kwenye hio hesabu nipo ready kujirekebisha. Wewe ndio engineer. Naomba utuelimishe.
 
ohk i didn't know ur wagons r 2 axles design! Mchina aliwafinya vilivyo!
 
Kenyans walikuwa na kelele sana kuhusu stations zetu. Nadhani sasa wameanza kuelewa nini tulikuwa tunamaanisha. Huwezi pata beautiful stations kama hizi kwenye failed state.
Hio station yenu ni sura mbaya. Sijui unaringa nini.
 
Hio station yenu ni sura mbaya. Sijui unaringa nini.
Wacha wee all cladding, sophisticated payment systems, VIP lounges, restaurants, shops, automatic doors aside offering more amenities than Nairobi Terminus halafu unaiita sura mbaya? 🤣 🤣 🤷‍♂️

Labda uonyeshe facilities kama hizi Nairobi Terminus!!

Kitu fulu kiyoyozi!









 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…