Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
- Thread starter
- #9,761
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sometimes huwa inabidi ujiulize kama watu unao ongea nao ni watu ama ni program ya komputer ilioandikwa na mtoto.empty containers at axle load of 25 tons ur SGR can't affrod fully loaded doublestack wagons!
Wivu!!Hahaha. Ilikuwa ianze mwezi wa sita sasa imesongezwa hadi mwezi wa nane. Aki nyinyi mna mchezo sana. Usishangae ikisongezwa hadi mwaka ujao wa 2022. SGR ya Kenya inapiga kati ya treni 11 hadi 14 kila siku between Mombasa and Nairobi wakati nyinyi mnacheza tu.
axle load ya 25 tons haiwezibeba full doublestacked containers!Sometimes huwa inabidi ujiulize kama watu unao ongea nao ni watu ama ni program ya komputer ilioandikwa na mtoto.
Please explain to me how you arrived at that ridiculous conclusion? Tena naona kuna watu wame like hii comment yako, waambie pia wakusadie kujibu. I can't wait for this one!
Hapa umenishangaza sana. You are not serious.When you show me a credible source showing Kenyan GDP reaches even $100bn I will leave jf mark my words [emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1726782
Hii ni picha ya SGR ya Kenya. Angalia hizo wagons vizuri.axle load ya 25 tons haiwezibeba full doublestacked containers!
ohk i didn't know ur wagons r 2 axles design! Mchina aliwafinya vilivyo!Hii ni picha ya SGR ya Kenya. Angalia hizo wagons vizuri.
View attachment 1727308
One double stack wagon has 2 axles. Each axle carries 25 tonnes meaning the two axles carry 50 tonnes. Two fully loaded 40 foot containers have total weight of 24 tonnes ×2 = 48 tonnes. So kama wagon moja inabeba maximum capacity ya 50 tonnes ilhali 2 (40 ft) containers zina uzito wa 48 tonnes basi mbona unasema kwamba train haiwezi kubeba double-stack containers zikiwa zimejaa?
Nionyeshe nimekosea wapi kwenye hio hesabu nipo ready kujirekebisha. Wewe ndio engineer. Naomba utuelimishe.
Ok just dare to show me and I am going to leave jf.Hapa umenishangaza sana. You are not serious.
Hio station yenu ni sura mbaya. Sijui unaringa nini.Kenyans walikuwa na kelele sana kuhusu stations zetu. Nadhani sasa wameanza kuelewa nini tulikuwa tunamaanisha. Huwezi pata beautiful stations kama hizi kwenye failed state.
Wacha wee all cladding, sophisticated payment systems, VIP lounges, restaurants, shops, automatic doors aside offering more amenities than Nairobi Terminus halafu unaiita sura mbaya? 🤣 🤣 🤷♂️Hio station yenu ni sura mbaya. Sijui unaringa nini.