Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Geza, unakumbuka tulishindana karibia wiki nzima mwanzo ulisema automatic ticket checks ni technolojia ya kitambo, sikuhizi watu wanatumia QR code kwa apps, alafu ukasema hizo zhecks zenyewe kwa SGR ya Kenya ni kidogo, tukashindana hadi nikakuonyesha ziko kumi....

Sasa kwa hii entry/exit yenu kuna ngapi? hebu nihesabie 🤣🤣🤣🤣

 
U will be very stupid to shout of size! FYI SGR Dar Terminal is 13500 sq km while SGR Nairobi Terminus is 15000 sq km! But mind u Dar has 2 stations Dar city center and Pugu stations n Dodoma will also have 2 stations!
Utakuwa mjinga sana kudhani hizi termini mbili zinakariniana kwa ukubwa. Nairobi Terminus is at least 3 times Dar es Salaam terminus. Just look and compare. Check the width of Nairobi terminus


 
Geza Ulole kumbe Dar station yenu haina depot. Mizigo yenu mtakuwa mnashushia wapi?
Kwani hujamsikia Mkurugenzi akielezea line ya kuelekea Bandarini? Na connection to Ilala na new Ruvu depots unamuachia nani? Kwala ICD? Dodoma ICD? Ficha upumbavu! !

FYI every SGR station will have cargo terminal too! In short, our design has beaten SGR Kenya in every detail!

electrical SGR connection to Dar port explained
 
Sawa. Nimekuelewa.
 
sasa mbona unauliza maswala ya ajabu kila station ina cargo terminal pata picha hii design imelenga nn? sasa iweje ikose depot?
Hio station ya Dar haina cargo terminal lakini hio ni kwa sababu mizigo za Dar zitashushwa katika Ilala Depot na pia kwa sababu Dar station ipo karibu na port so hakuna haja ya kujenga cargo terminal ilhali wafanyibiashara wanaweza kuenda kwenye port iliyopo hapo karibu na kuchukua mizigo yao.

Lakini that means kwamba Dar station ni passenger terminal pekee ilhali Nairobi station ni both passenger terminal and cargo terminal. Hio ina maana kwamba Nairobi station ni kubwa sana ukiilinganisha na Dar station.

Sasa kwenye ukubwa, Nairobi station ni kubwa sana kushinda hio station yenu ya Dar maana Nairobi station ina mpaka cargo terminal.



Cc The best 007 NairobiWalker
 
fool Nairobi Terminal ilinganishwe na Dodoma Terminal au Ruvu Terminal! una upumbavu wa ajabu sasa kama TRC ina Ilala depot na Bandari inapanuli na SGR line inafika huko mbona una ufala wa kulazimisha Dar Terminal iwe na facility inayofanya kazi za inland cargo terminal? Vp? logic thinking umeacha wapi? umechomeka matakoni? Yaani tuwe na dry port where we have already a depot at Ilala? na pia cargo terminal at Dar port?

kwani hii? sikiliza dk 5:46!


Na hii?




Narudia design yetu ipo bora kuliko yenu kwa kila idara!
 
Hahaha. Tulia. Hata mimi nakubali kwamba itakuwa useless kujenga cargo terminal at Dar station ikiwa mizigo mnaweza kuipakuwa kwenye Dar port iliyopo hapo karibu au Ilala terminal.
 
Hahaha. Tulia. Hata mimi nakubali kwamba itakuwa useless kujenga cargo terminal at Dar station ikiwa mizigo mnaweza kuipakuwa kwenye Dar port iliyopo hapo karibu au Ilala terminal.
sasa mbona unalazimisha tuwe na facility kama ya Nairobi? wakati ipo Ilala depot na Kwala ICD about 100km from Dar Terminal? unajiona ulivyo mjinga?
 
Structure yenyewe mnajenga saa hii tena kwa fedha tofauti nje ya fedha za Mombasa-Nairobi-Naivasha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…