komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Entrance milango inafungwa ya kazi gani wakati wa watu kuingia[emoji1787][emoji1787]wekeni picha acheni kurukaruka apa [emoji15]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Entrance milango inafungwa ya kazi gani wakati wa watu kuingia[emoji1787][emoji1787]wekeni picha acheni kurukaruka apa [emoji15]
Entrance milango inafungwa ya kazi gani wakati wa watu kuingia[emoji1787][emoji1787]
Wacha wee all cladding, sophisticated payment systems, VIP lounges, restaurants, shops, automatic doors aside offering more amenities than Nairobi Terminus halafu unaiita sura mbaya? 🤣 🤣 🤷♂️
Labda uonyeshe facilities kama hizi Nairobi Terminus!!
Kitu fulu kiyoyozi!
![]()
![]()
![]()
![]()
Mbona hii ya Dar haina Depot kisha compound yake ndogo sana? Ya Nairobi kubwa kisha ukiangalia nyuma depot yake ni kubwa sana.Hata kipofu ukimuuliza anavutiwa na gani kati ya hizi mbili atachagua Nairobi terminus.
View attachment 1727439View attachment 1727440View attachment 1727441View attachment 1727442
Leta battle ya ndani sio nje. Nje Nairobi imeshashinda. Yenu ipo very plain na haina mvuto wowote.
Utakuwa mjinga sana kudhani hizi termini mbili zinakariniana kwa ukubwa. Nairobi Terminus is at least 3 times Dar es Salaam terminus. Just look and compare. Check the width of Nairobi terminusU will be very stupid to shout of size! FYI SGR Dar Terminal is 13500 sq km while SGR Nairobi Terminus is 15000 sq km! But mind u Dar has 2 stations Dar city center and Pugu stations n Dodoma will also have 2 stations!
Kwani hujamsikia Mkurugenzi akielezea line ya kuelekea Bandarini? Na connection to Ilala na new Ruvu depots unamuachia nani? Kwala ICD? Dodoma ICD? Ficha upumbavu! !Geza Ulole kumbe Dar station yenu haina depot. Mizigo yenu mtakuwa mnashushia wapi?
electrical SGR connection to Dar port explained
Hii station ipo karibu kabisa na bandari ya Dar.Geza Ulole kumbe Dar station yenu haina depot. Mizigo yenu mtakuwa mnashushia wapi?
Halafu kuna line itaingia Ilala depot for cargo destined to Dar and not overseas! unajua hawa mafala wanadhani electrical SGR yetu design yake ni ya kizembe kama diesel SGR yao!Hii station ipo karibu kabisa na bandari ya Dar.
Sawa. Nimekuelewa.Kwani hujamsikia Mkurugenzi akielezea line ya kuelekea Bandarini? Na connection to Ilala na new Ruvu depots unamuachia nani? Kwala ICD? Dodoma ICD? Ficha upumbavu! !
FYI every SGR station will have cargo terminal too! In short, our design has beaten SGR Kenya in every detail!
sasa mbona unauliza maswala ya ajabu kila station ina cargo terminal pata picha hii design imelenga nn? sasa iweje ikose depot?Sawa. Nimekuelewa.
Hio station ya Dar haina cargo terminal lakini hio ni kwa sababu mizigo za Dar zitashushwa katika Ilala Depot na pia kwa sababu Dar station ipo karibu na port so hakuna haja ya kujenga cargo terminal ilhali wafanyibiashara wanaweza kuenda kwenye port iliyopo hapo karibu na kuchukua mizigo yao.sasa mbona unauliza maswala ya ajabu kila station ina cargo terminal pata picha hii design imelenga nn? sasa iweje ikose depot?
fool Nairobi Terminal ilinganishwe na Dodoma Terminal au Ruvu Terminal! una upumbavu wa ajabu sasa kama TRC ina Ilala depot na Bandari inapanuli na SGR line inafika huko mbona una ufala wa kulazimisha Dar Terminal iwe na facility inayofanya kazi za inland cargo terminal? Vp? logic thinking umeacha wapi? umechomeka matakoni? Yaani tuwe na dry port where we have already a depot at Ilala? na pia cargo terminal at Dar port?Hio station ya Dar haina cargo terminal lakini hio ni kwa sababu mizigo za Dar zitashushwa katika Ilala Depot na pia kwa sababu Dar station ipo karibu na port so hakuna haja ya kujenga cargo terminal ilhali wafanyibiashara wanaweza kuenda kwenye port iliyopo hapo karibu na kuchukua mizigo yao.
Lakini that means kwamba Dar station ni passenger terminal pekee ilhali Nairobi station ni both passenger terminal and cargo terminal. Hio ina maana kwamba Nairobi station ni kubwa sana ukiilinganisha na Dar station.
View attachment 1729181View attachment 1729182
Sasa kwenye ukubwa, Nairobi station ni kubwa sana kushinda hio station yenu ya Dar maana Nairobi station ina mpaka cargo terminal.
Cc The best 007 NairobiWalker
fool Nairobi Terminal ilinganishwe na Dodoma Terminal au Ruvu Terminal! una upumbavu wa ajabu sasa kama TRC ina Ilala Terminal na Bandari inapanuli na SGR line inafika huko mbona una usenge wa kulazimisha Dar Terminal iwe na facility inayofanya kazi za inland terminal? Vp? logic thinking umeacha wapi? umechomeka matakoni? Yaani tuwe na dry port where we have already a depot at Ilala? na pia cargo terminal at Dar port?
kwani hii?
sasa mbona unalazimisha tuwe na facility kama ya Nairobi? wakati ipo Ilala depot na Kwala ICD about 100km from Dar Terminal? unajiona ulivyo mjinga?Hahaha. Tulia. Hata mimi nakubali kwamba itakuwa useless kujenga cargo terminal at Dar station ikiwa mizigo mnaweza kuipakuwa kwenye Dar port iliyopo hapo karibu au Ilala terminal.
Structure yenyewe mnajenga saa hii tena kwa fedha tofauti nje ya fedha za Mombasa-Nairobi-Naivasha!Hio station ya Dar haina cargo terminal lakini hio ni kwa sababu mizigo za Dar zitashushwa katika Ilala Depot na pia kwa sababu Dar station ipo karibu na port so hakuna haja ya kujenga cargo terminal ilhali wafanyibiashara wanaweza kuenda kwenye port iliyopo hapo karibu na kuchukua mizigo yao.
Lakini that means kwamba Dar station ni passenger terminal pekee ilhali Nairobi station ni both passenger terminal and cargo terminal. Hio ina maana kwamba Nairobi station ni kubwa sana ukiilinganisha na Dar station.
View attachment 1729181View attachment 1729182
Sasa kwenye ukubwa, Nairobi station ni kubwa sana kushinda hio station yenu ya Dar maana Nairobi station ina mpaka cargo terminal.
Cc The best 007 NairobiWalker