Capt Richie
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 1,370
- 3,307
Itabidi wawashe taa hata mchana. Very poor architecture for a public structure
kwani huoni transparent glass roof?Itabidi wawashe taa hata mchana. Very poor architecture for a public structure
Hayo unayosema walioona kabla hatujengi kwa kukurupukaItabidi wawashe taa hata mchana. Very poor architecture for a public structure
Wewe hujatoa evidence hata moja kwamba hizo containers zipo empty. Unaropokwa ropokwa tu.
Wewe hujatoa evidence hata moja kwamba hizo containers zipo empty. Unaropokwa ropokwa tu.
evidence? Hizi midaki zipo tangu 2018! Na zinapima train wagons from 15km/h to 30km/h!Dar pia mnatumia truck scanners.
Fact ni hii hapa hata ukibisha. Nairobi ICD inapokea double stack containers zote zikiwa fully loaded. Kisha zinapakuliwa from train to trucks kisha truck scanners zinatumiwa kuziscan. Sio lazima tutumie train scanners katika Nairobi Embakasi ICD.
Evidence kwamba mnatumia truck scanners?evidence?
Sasa si unakubaliana na kauli yangu kuwa mna both train and truck scanners. So ulikuwa unaitisha evidence ya nini?evidence? Hizi midaki zipo tangu 2018! Na zinapima train wagons from 15km/h to 30km/h!
BTW tuna scanners hizi pia
View attachment 1733252
Sasa kama huwezi kujua kwanini tuna 3 types of scanners at Dar port! Ina maanisha nn? Mimi nimekuomba uoneshe midaki hii Mombasa port ambayo ni specifically for scanning a moving train be a doubledeck or not!Halafu nionyeshe ni wapi nimesema kwamba midaki ya train inascan containers zinazobebwa na trucks. Usinisingizie maneno ambayo sijasema.
Kwa hivyo hii scanner hapa chini ni ya kuscan baiskeli au pikipiki?Sasa kama huwezi kujua kwanini tuna 3 types of scanners at Dar port! Ina maanisha nn? Mimi nimekuomba uoneshe midaki hii Mombasa port ambayo ni specifically for scanning a moving train be a doubledeck or not!
Tanga port
Dar port
Nachojua mimi the whole of Kenya haina vitu kama hivi ☝️
leta final product! si ujenzi!Kwa hivyo hii scanner hapa chini ni ya kuscan baiskeli au pikipiki?
CAEC- SGR Consultant-KENYA
@consortiumsgr · Consulting Agency
CAEC- SGR Consultant-KENYA
Like
https://www.facebook.com/consortiumsgr/?__cft__[0]=AZXLtyQHd4NgtEmfj7wj8z_aVG45Yb1CeGdMBsGzGALe3LClxSvCyuOA_mrXGq7NNiQmF5bM3JcW_OgDu3mwutDiJXRgZvhTo8D7R7MwHxTTtGWzHpEgGthHtadfMnV943dF5LGEpdQfMM2zDw_AnN94&tn=<<,P-R
CAEC- SGR Consultant-KENYA
AtluSpropoimisltnsgomf rie2d5,i nm2ti019 ·
SGR installing a rail scanner . It will make the work easier for scanning containers @ Mombasa port.
Kwani unadhani mimi nafanya kazi kwa port. Wacha ujinga. Umeitisha evidence na nimeleta. Periodleta final product! si ujenzi!
This is what stands now!
It seems walienda kununua secondhand scanners as usual!
Baada ya ujenzi media yenyu kipenzi wanasema dude halifanyi kaziKwani unadhani mimi nafanya kazi kwa port. Wacha ujinga. Umeitisha evidence na nimeleta. Period
Kwani unachobisha ni nn? Standardmedia wamesema hivi !Kwani unadhani mimi nafanya kazi kwa port. Wacha ujinga. Umeitisha evidence na nimeleta. Period
Hio scanner ya Kenyan SGR train iliyowekwa inafanya kazi vizuri kama kawaida. Sema tatizo ni kwamba inascan single-stack trains pekee na haina uwezo wa kuscan double-stack trains. Uelewa wako ni finyu sana.Kwani unachobisha ni nn? Standardmedia wamesema hivi !
Maana yake ni mbovu kwa vile kwa urefu huo inapaswa ku-scan container mbili yaani doublestack!Hio scanner ya Kenyan SGR train iliyowekwa inafanya kazi vizuri kama kawaida. Sema tatizo ni kwamba inascan single-stack trains pekee na haina uwezo wa kuscan double-stack trains. Uelewa wako ni finyu sana.
Urefu gani? Hii ni horizontal scanner. Haina urefu wowote. Hii hapa walikuwa wanailaza chini tu.Maana yake ni mbovu kwa vile kwa urefu huo inapaswa ku-scan container mbili yaani doublestack!