Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Ewsk35sXEAE4SoB
Itabidi wawashe taa hata mchana. Very poor architecture for a public structure
 
Wewe hujatoa evidence hata moja kwamba hizo containers zipo empty. Unaropokwa ropokwa tu.

kwavile scanner zenu haziwezi ku-scan doublestack!
TPAscanner.PNG

Mnahitaji kitu kama hiki! Nina uhakika Mombasa port haina scanner kama hii!
 
Dar pia mnatumia truck scanners.
Fact ni hii hapa hata ukibisha. Nairobi ICD inapokea double stack containers zote zikiwa fully loaded. Kisha zinapakuliwa from train to trucks kisha truck scanners zinatumiwa kuziscan. Sio lazima tutumie train scanners katika Nairobi Embakasi ICD.
 
evidence? Hizi midaki zipo tangu 2018! Na zinapima train wagons from 15km/h to 30km/h!

BTW tuna scanners hizi pia ukiacha mobile mnazotuonyesha huko Kenya!
TPAscanner2.PNG
 
Halafu nionyeshe ni wapi nimesema kwamba midaki ya train inascan containers zinazobebwa na trucks. Usinisingizie maneno ambayo sijasema.
Sasa kama huwezi kujua kwanini tuna 3 types of scanners at Dar port! Ina maanisha nn? Mimi nimekuomba uoneshe midaki hii Mombasa port ambayo ni specifically for scanning a moving train be a doubledeck or not!

2722635_TPAscanner.png

Tanga port
Scanning%20point.jpg

Dar port

Nachojua mimi the whole of Kenya haina vitu kama hivi ☝️
 
Kwa hivyo hii scanner hapa chini ni ya kuscan baiskeli au pikipiki?

CAEC- SGR Consultant-KENYA​

@consortiumsgr · Consulting Agency

CAEC- SGR Consultant-KENYA

Like

https://www.facebook.com/consortium...MnV943dF5LGEpdQfMM2zDw_AnN94&[B]tn[/B]=<<,P-R

CAEC- SGR Consultant-KENYA

AtluSpropoimisltnsgomf rie2d5,i nm2ti019 ·

SGR installing a rail scanner . It will make the work easier for scanning containers @ Mombasa port.

Kwa hivyo hii scanner hapa chini ni ya kuscan baiskeli au pikipiki?

CAEC- SGR Consultant-KENYA​

@consortiumsgr · Consulting Agency

CAEC- SGR Consultant-KENYA

Like

https://www.facebook.com/consortiumsgr/?__cft__[0]=AZXLtyQHd4NgtEmfj7wj8z_aVG45Yb1CeGdMBsGzGALe3LClxSvCyuOA_mrXGq7NNiQmF5bM3JcW_OgDu3mwutDiJXRgZvhTo8D7R7MwHxTTtGWzHpEgGthHtadfMnV943dF5LGEpdQfMM2zDw_AnN94&tn=<<,P-R

CAEC- SGR Consultant-KENYA

AtluSpropoimisltnsgomf rie2d5,i nm2ti019 ·

SGR installing a rail scanner . It will make the work easier for scanning containers @ Mombasa port.

leta final product! si ujenzi!
This is what stands now!

It seems walienda kununua secondhand scanners as usual!

leta final product! si ujenzi!
This is what stands now!

It seems walienda kununua secondhand scanners as usual!

Kwani unadhani mimi nafanya kazi kwa port. Wacha ujinga. Umeitisha evidence na nimeleta. Period
 
Kwani unachobisha ni nn? Standardmedia wamesema hivi !

Hio scanner ya Kenyan SGR train iliyowekwa inafanya kazi vizuri kama kawaida. Sema tatizo ni kwamba inascan single-stack trains pekee na haina uwezo wa kuscan double-stack trains. Uelewa wako ni finyu sana.
 
Maana yake ni mbovu kwa vile kwa urefu huo inapaswa ku-scan container mbili yaani doublestack!
 
Maana yake ni mbovu kwa vile kwa urefu huo inapaswa ku-scan container mbili yaani doublestack!
Urefu gani? Hii ni horizontal scanner. Haina urefu wowote. Hii hapa walikuwa wanailaza chini tu.
1616602305267.png
 
Back
Top Bottom