Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Unaelewa maana ya interchange? Sio lazima iwe mjini au kijijini, ni kwamba interchange inajengwa maala penye uhitaji wa interchange na co tu kijijini au mjini hilo kwanza likae kichwani, upuuzi wa viongozi wenu kujenga vitu kisiasa na kikabila ndio imewafikisha hapo mlipo kwamba taifa haliwezi hata kujenga km5 za road kwa pesa yake na ndiyo maana mpk leo mnaongoza kwa vifo kutokana na ufinyu wa chakula kwa wananchi because of selfishness ya wanasiasa wenu, hapo hapakustahili interchange but imejengwa kwa sababu ya kisiasa kwamba lazima kwetu kuwe na interchange na ndiyo maana mmefika hapo mlipo cz hiyo pesa ingeenda kusaidia wananchi na hapo kujengwa road ya kawaida.

Huwezi kuona upumbavu km huo unatokea huku kwetu cz Tz ni ya watanzania wote na tunajenga maala penye uhitaji na sio kujenga kipuuzi kama hivyo alafu nije kujisifia kwa upumbavu km huo, ni aibu sn, Kenya mna matatizo makubwa sana[emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi sasa tuseme miji ya Tanzania haiitaji interchange maanake nyinyi mnajenga tu mahali inapohitajika? Haya ni machungu ya mkosaji sasa. 🤣 🤣 🤣 🤣

Wacha niongeze chumvi kwa kidonda. Ndio hii hapa nyengine katikati mwa kijiji.

Mau Summit interchange.

 
yaani ni wajinga sana wamejenga vitu unajizungusha zungusha tu pasipo sababu ya msingi halafu road imepauka full udongo mwekundu
Halafu mapunga yanapaza sauti mpaka mshipa wa mwisho kwamba interchange zao ni viwango!
 
Nipe tofauti ya hizo picha mbili japo kwa macho hiyo ya chini kwa macho iko poa.View attachment 1736613View attachment 1736614

Sent using Jamii Forums mobile app
Google trumpet interchange then do your comparison. Nilikuambia kama huelewi interchange ni nini achana na huu mjadala, maanake unatapatapa tu. Mara ni chafu, mara zimejengwa Mahali pasipo, mara udongo mwekundu, mara ukanipa, sasa unailinganisha na roundabout. Yani ni kicks of a dying horse. Mtu kashindwa kitu na haipendi kukubali ukweli. Hiyo ni shida Sana kwenu wabongo.🤣🤣🤣
 
Nawewe Google roundabout interchange utapata jibu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nawewe Google roundabout interchange utapata jibu.

Sent using Jamii Forums mobile app
These two are roundabout interchanges. What you shared is a roundabout. The first one is in Nairobi, the second one in Kisumu. I think I'm done with you now, I hate arguing with shallow people who lack knowledge in whatever they're insisting to argue about.



 
CC Geza Ulole
 
Nimekuomba picha za interchanges 10 nairobi umeleta renders za highway with feed out and feed in lanes pia roundabouts! Hiyo list siangaiki nayo naomba ujibu zile 10 kwanza!

Huu utumbo hapa chini unaita interchange ungekuwa na akili ungeona kuna upigaji hiyo feed in lane ilipaswa iwe ndefu around 1 km otherwise hii barabara itawkuwa na ajali sana! Yaani mtu anaingia tu main road! halafu akitoka kilimani yaani wa main road hawezi hata kumuona aisee na KenHa wakakubali hii maneno! Ukionionyesha interchange kama hii anywhere around the world nahama JF!

 
Nimekuomba picha za interchanges 10 nairobi umeleta renders za highway with feed out and feed in lanes pia roundabouts! Hiyo list siangaiki nayo naomba ujibu zile 10 kwanza!
Unadhani unaweza kutoroka from the truth? Najua hutaki kuamini kwamba Nairobi expressway ina interchanges kumi lakini ukweli haupingiki.
Tazama hii video ya Kenha. Video yenyewe inaonyesha interchanges zote kumi pamoja na majina yao na jinsi kila interchange itakavyofanana. Tazama video kisha uje tudebate. Usinimention kabla hujatazama hio video.
 
Hahaha The best naona umetokwa na povu sana kuona Kenya ina interchanges hadi vijijini. Pole sana ndugu kwa maumivu. NairobiWalker you have done a good job pressing this guy's buttons until he feels remorseful being a Tanzanian citizen.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…