Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Mwanzo hiyo picha ya kwanza iko under construction. Sasa utatupostia picha ziko under construction [emoji1787] [emoji1787] Hiyo ya Tatu siyo interchange bali ni Railway crossing.All in all, interchange zenyewe ziko tu sawa.

Pili, Nairobi tumejenga interchanges hadi sehemu maskini ambazo zina watu wengi na maintainance inakua ngumu so inategemea umechukua picha wakati gani. Nyie mna interchange mbili kwa highway alafu bado zinakaa uchwara. Jengeni interchange Manzese ama Tandale alafu uipost hapa after 5 years.[emoji1787][emoji1787]

Ona hii hapa yet it's 50% of all your interchanges. Shida tupu. [emoji1787][emoji1787]
View attachment 1736412

While at it, burudika na hii interchange Kijijini Njoro. Siku Tanzania itapata interchange vijijini niamshe.

View attachment 1736410
Unaelewa maana ya interchange? Sio lazima iwe mjini au kijijini, ni kwamba interchange inajengwa maala penye uhitaji wa interchange na co tu kijijini au mjini hilo kwanza likae kichwani, upuuzi wa viongozi wenu kujenga vitu kisiasa na kikabila ndio imewafikisha hapo mlipo kwamba taifa haliwezi hata kujenga km5 za road kwa pesa yake na ndiyo maana mpk leo mnaongoza kwa vifo kutokana na ufinyu wa chakula kwa wananchi because of selfishness ya wanasiasa wenu, hapo hapakustahili interchange but imejengwa kwa sababu ya kisiasa kwamba lazima kwetu kuwe na interchange na ndiyo maana mmefika hapo mlipo cz hiyo pesa ingeenda kusaidia wananchi na hapo kujengwa road ya kawaida.

Huwezi kuona upumbavu km huo unatokea huku kwetu cz Tz ni ya watanzania wote na tunajenga maala penye uhitaji na sio kujenga kipuuzi kama hivyo alafu nije kujisifia kwa upumbavu km huo, ni aibu sn, Kenya mna matatizo makubwa sana[emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi sasa tuseme miji ya Tanzania haiitaji interchange maanake nyinyi mnajenga tu mahali inapohitajika? Haya ni machungu ya mkosaji sasa. 🤣 🤣 🤣 🤣

Wacha niongeze chumvi kwa kidonda. Ndio hii hapa nyengine katikati mwa kijiji.

Mau Summit interchange.

1.jpg
 
Nipe tofauti ya hizo picha mbili japo kwa macho hiyo ya chini kwa macho iko poa.View attachment 1736613View attachment 1736614

Sent using Jamii Forums mobile app
Google trumpet interchange then do your comparison. Nilikuambia kama huelewi interchange ni nini achana na huu mjadala, maanake unatapatapa tu. Mara ni chafu, mara zimejengwa Mahali pasipo, mara udongo mwekundu, mara ukanipa, sasa unailinganisha na roundabout. Yani ni kicks of a dying horse. Mtu kashindwa kitu na haipendi kukubali ukweli. Hiyo ni shida Sana kwenu wabongo.🤣🤣🤣
 
Google trumpet interchange then do your comparison. Nilikuambia kama huelewi interchange ni nini achana na huu mjadala, maanake unatapatapa tu. Mara ni chafu, mara zimejengwa Mahali pasipo, mara udongo mwekundu, mara ukanipa, sasa unailinganisha na roundabout. Yani ni kicks of a dying horse. Mtu kashindwa kitu na haipendi kukubali ukweli. Hiyo ni shida Sana kwenu wabongo.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nawewe Google roundabout interchange utapata jibu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nawewe Google roundabout interchange utapata jibu.

Sent using Jamii Forums mobile app
These two are roundabout interchanges. What you shared is a roundabout. The first one is in Nairobi, the second one in Kisumu. I think I'm done with you now, I hate arguing with shallow people who lack knowledge in whatever they're insisting to argue about.

images (57).jpeg

images (56).jpeg
 
Here is the list of complete interchanges in Nairobi
1. JKIA/Mombasa road interchange
2. Southern Bypass/Mombasa Road interchange
3. Southern Bypass/Langata Road interchange
4. Southern Bypass/Ngong Road Interchange
5. Langata Road/Magadi Road interchange
6. Chriomo Road/Wangari Maathai Road interchange
7. Red Hill Link Road/Grevillea Grove interchange
8. Red Hill link Road/Kyuna Road interchange
9. Red Hill Link Road/Spring Valley Road interchange
10. Red Hill Link Road/Kitusuru Road interchange
11. Red Hill Link Road/Peponi Road interchange
12. Globe Cinema interchange
13. Wangari Maathai Road/Kipande Road interchange
14. Thika Road/Limuru Road interchange
15. Pangani interchange
16. Muthaiga Road/Thika Road interchange
17. Thika Road/Outer Ring Road interchange
18. Thika Road/Gadern Estate Road interchange
19. Thika Road/Kamiti Road interchange
20. Thika Road/Eastern Bypass interchange
21. Githurai interchange
22. Eastern bypass/Kangundo Road interchange
23. Airport North Road/Outering Road interchange
24. Caltex interchange (Outering Road)
25. Outering Road/Jogoo Road interchange
26. Jogoo Road/Outering Road interchange
27. Outering Road/Kangundo Road interchange
28. Outering Road/Juja Road interchange
29. Mombasa Road/Namanga Road interchange
30. Enterprise Road/Likoni Road interchange
31. Southern Bypass/Dagoretti Road interchange
32. Mombasa Road/Airport North Road interchange
Na bado sijaongeza zenye ziko under construction. Alafu mtu anakuambia anataka Dar ya interchange tatu ishindane na Nairobi. Dar labda ing'ang'ane na Kisumu ama Eldoret when it comes to interchanges. Sii Nairobi.
CC Geza Ulole
 
Nimekuomba picha za interchanges 10 nairobi umeleta renders za highway with feed out and feed in lanes pia roundabouts! Hiyo list siangaiki nayo naomba ujibu zile 10 kwanza!

Huu utumbo hapa chini unaita interchange ungekuwa na akili ungeona kuna upigaji hiyo feed in lane ilipaswa iwe ndefu around 1 km otherwise hii barabara itawkuwa na ajali sana! Yaani mtu anaingia tu main road! halafu akitoka kilimani yaani wa main road hawezi hata kumuona aisee na KenHa wakakubali hii maneno! Ukionionyesha interchange kama hii anywhere around the world nahama JF!

2725874_tapatalk_1601416134025.jpg
 
Nimekuomba picha za interchanges 10 nairobi umeleta renders za highway with feed out and feed in lanes pia roundabouts! Hiyo list siangaiki nayo naomba ujibu zile 10 kwanza!
Unadhani unaweza kutoroka from the truth? Najua hutaki kuamini kwamba Nairobi expressway ina interchanges kumi lakini ukweli haupingiki.
Tazama hii video ya Kenha. Video yenyewe inaonyesha interchanges zote kumi pamoja na majina yao na jinsi kila interchange itakavyofanana. Tazama video kisha uje tudebate. Usinimention kabla hujatazama hio video.
 
Unaelewa maana ya interchange? Sio lazima iwe mjini au kijijini, ni kwamba interchange inajengwa maala penye uhitaji wa interchange na co tu kijijini au mjini hilo kwanza likae kichwani, upuuzi wa viongozi wenu kujenga vitu kisiasa na kikabila ndio imewafikisha hapo mlipo kwamba taifa haliwezi hata kujenga km5 za road kwa pesa yake na ndiyo maana mpk leo mnaongoza kwa vifo kutokana na ufinyu wa chakula kwa wananchi because of selfishness ya wanasiasa wenu, hapo hapakustahili interchange but imejengwa kwa sababu ya kisiasa kwamba lazima kwetu kuwe na interchange na ndiyo maana mmefika hapo mlipo cz hiyo pesa ingeenda kusaidia wananchi na hapo kujengwa road ya kawaida.

Huwezi kuona upumbavu km huo unatokea huku kwetu cz Tz ni ya watanzania wote na tunajenga maala penye uhitaji na sio kujenga kipuuzi kama hivyo alafu nije kujisifia kwa upumbavu km huo, ni aibu sn, Kenya mna matatizo makubwa sana[emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha The best naona umetokwa na povu sana kuona Kenya ina interchanges hadi vijijini. Pole sana ndugu kwa maumivu. NairobiWalker you have done a good job pressing this guy's buttons until he feels remorseful being a Tanzanian citizen.
 
Back
Top Bottom