Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

still feeded road ipo fupi!
Nilikueleza kwamba Mombasa port inapakua containers ex-hook yaani straight from ship to train bila kuiweka container kwenye container depot halafu ukanipinga.

sasa tazama meli iliyowasili leo saa tisa alfajiri itapakua mizigo straight from ship to train na mizigo zitawasili Nairobi at 2 a.m Kesho. Yaani difference between 3 pm na 2 am ni 11 hours pekee. Sasa utapinga Kenya ports authority kama unavyopenda kupinga? Mombasa port is very efficient. Meli inawasili Mombasa na baada ya masaa 11 containers zimeshawasili Nairobi. Maajabu ya Musa haya.



The containers have almost zero dwelling time at the port.
 
And?
 
Haijasema imeshusa containers ngapi!
Kwani does the number of containers matter? wewe jua tu kwamba leo at 2 a.m usiku train iliyobeba containers itakuwa inawasili Nairobi ilhali meli yenyewe iliwasili at 3 pm. Nipo sure hata importers wenyewe watashangaa jinsi mambo yanavyokimbizwa maana wameambiwa kwamba meli imewasili leo Mombasa saa tisa mchana halafu wanaambiwa kwamba wanaweza kuja 2 am kupokea na kuclear mizigo yao. Hii ni efficiency ya hali ya juu. Anyway sina mengi, ni hayo tu.
 
Umesahau mna lock down!
 
Umesahau mna lock down!
Lockdown inaingiliaje hapa? Import na Export zinaendelea kama kawaida. Mombasa port haijafungwa na inaendelea na shuguli kama kawaida. SGR train ya cargo inaendelea kubeba cargo kama kawaida. Nairobi ICD inaendelea na shughuli kama kawaida. Hii ni partial lockdown mzee. So sio kwamba kila shughuli imestop.
 
how r the customers going to reach Nairobi ICD? BTW mbona cargo from Dar port pia inafika Entebbe within 24 hrs with MGR!
 
how r the customers going to reach Nairobi ICD? BTW mbona cargo from Dar port pia inafika Entebbe within 24 hrs with MGR!
Most of the customers are Nairobians and People living in counties surrounding Nairobi (Nakuru, Machakos, Kiambu, Kajiado) are allowed to move within this isolated zone but are not allowed to leave this isolated zone. Anyways nowadays the importer himself, if he lives outside of these five isolated counties, does not need to go physically to the ICD because he can use clearing and forwarding agents to do that and he can pay taxes either using Mpesa or bank services in other branches. Mimi nahesabu the whole process tokea meli inapowasili hadi crane zinapoanza kazi kupakia mizigo from ship to train hadi train inapojaa hadi train inapoanza safari na kuwasili Nairobi. Mimi nahesabu steps zote zinachukua 11 hours. Ila nikihesabu tu journey yenyewe pekee kama ufanyavyo wewe basi cargo train inachukua 8 hours from Mombasa to Nairobi. Inachukua approximately three hours kupakia mizigo from ship to train. Total time ndio inakuwa 11 hours. Wewe 24 hours unahesabu tu muda wa safari kutoka Dar hadi Entebbe including sea transportation through Lake victoria lakini huhesabu muda wa crane kupakua container from Ship to your trains. Na pengine hata mnaweza kuwa mnaweka containers zenu katika container terminal kwanza kabla ya reach stackers kuzipakia kwenye treni kama mkubwa wa TPA alivyosema. Anyway containers sasa hivi hazikai zaidi ya masaa matatu katika Mombasa port kwa sababu ya SGR.
 
Kama mzigo wangu napeleka Lamu au Tanga mpaka nikachukue container Nairobi?
 
Kama mzigo wangu napeleka Lamu au Tanga mpaka nikachukue container Nairobi?
Sio containers zote zinaenda Nairobi. Zingine zinabakia Mombasa na zinachukuliwa na trucks na kupelekwa Lamu au Tanga.
 
Sio containers zote zinaenda Nairobi. Zingine zinabakia Mombasa na zinachukuliwa na trucks na kupelekwa Lamu au Tanga.
kama unapeleka Tanga kwann ukachukulie Mombasa port wakati kuna lock-down?
 
kama unapeleka Tanga kwann ukachukulie Mombasa port wakati kuna lock-down?
Lockdown sio ya Kenya nzima. Ni ya counties tano tu.
Angalia, hizi ndizo counties zilizopigwa lockdown na Mombasa au Taita Taveta counties hazipo hapo.

Kwa hivyo Border ya Holili ambayo ipo karibu na Tanga ipo wazi mzee. Mnaweza kuingia na kutoka mnavyopenda.


Yaani mimi kwa sababu nipo Nairobi siwezi kuenda Kisumu maana ipo nje ya hio lockdown zone iliyochorwa na rangi ya green ila naweza kuenda Nakuru maana Nakuru ipo ndani ya hio lockdown zone. Natumai umeelewa na hujachanganyikiwa zaidi.
 
well good accomplishment though!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…