Waganda na Warwanda hawawezi kufika Nairobi maana Nairobi ni one of the five isolated counties. Lakini angalau serikali ya Kenya ingewaambia Waganda mapema wasije Nairobi maana hawataruhisiwa kupita maeneo ya Nakuru kuelekea Nairobi. Wabaki kwao hadi curfew iishe.
Kwahiyo kwa uwezo wako wote wa kufikiri huoni tatizo? Mimi naamini kama reli itakayojengwa ita-target landlocked countrie SADC region basi itakuwa Cape Gauge Railway!
nchi zinazolengwa na huo mradi ni zipi? tazara inapiga hadi lobito ujue?
zaidi ya malawi sioni nchinyingine zikitunufaisha sana na huo mradi
congo si tumekubaliana tutaunga mpanda to kalemi which is inatokea reli ya kati na zambia si kuna tazara?
hii reli haijengwi kwa kuitegemea malawi pekee maana hata iyo kanda kusini kuna biashara ya kutosha tuu!!

Ujue una maswali ya ku-bore kwahiyo nikufundishe nchi gani zinalengwa wewe unashindwa vp ku-google?
Jifunze kitu kinaitwa synergies sio kwa vile umeambiwa SGR ndio most modern basi unang'ang'ana nayo kuna kitu kinaitwa compability with markets intended to serve! Plse naomba usini-bore na viswali vya kijingajinga!
Hio mambo ya kubadilisha containers from one train to another huwa inaleta inefficiencies katika logistics chain. Sasa itagharimu importers/exporters pesa nyingi zaidi na muda mwingi zaidi kusafirisha mizigo. Mbona gauge za reli zisifanane kila mahali ili kuzuia kutransfer containers from one train to another ili kuokoa muda na kupunguza gharama za usafiri? Mambo ya logistics huwa inahitaji efficiency ya hali ya juu.

Kuna watu wana ufala mwingi nimemu-ignore! Maana watu wengine ni wapuuzi yaani nchi 16 za SADC zina Cape Gauge halafu uwapelekee SGR uache kuunganisha TAZARA na the whole of SADC rwilway network na proposed Mtwara-Mbaba bay railway inaingia akilini? kwani Cape Gauge haiwezi kuwa electrified? halafu itajengwa na private investors sasa nangoja nione yule atakayejenga SGR badala ya Cape gauge!

Ni sawa. Unaruhusiwa pia kuwa na mitazamo yako. Ni haki yako. Ila pia kuna mitazamo ya kitaalam ambayo nimekupatia. Lakini una rukhsa ya kufikiria chochote unachotaka.

Kwani hata ikiwa Tanzania itakuwa na reli mbili za cape-gauge zinazo-serve SADC tatizo liko wapi? Mimi naona the more the better. Hizo reli mbili ndizo zitaongeza efficiencies katika logistic chain yenu. Yaani ni vizuri kujenga reli kwa wingi hata kama kuna moja tayari basi hakuna tatizo kujenga la pili bora ziwe na gauge sawa ili reli za SADC zote ziweze kuingiana. Binafsi mimi sina tatizo na TZ kujenga reli ya pili kuelekea SADC bora iwe na gauge sawa na SADC ili iingiane na reli za nchi nyingine.
Yaani uzuri wa kuwa na reli ya pili ni kwamba hata moja ikifungwa for repair and maintenance basi reli la pili litaendelea kufanya kazi. Kwa mfano ikiwa Tazara itafungwa for repair basi hili reli mpya litaendelea kuserve SADC.

Ofcoz the reasonable approach nikujenga cape gauge lakin pia kumbuka mipango ya trc ya baadae ni kujenga na kuunganisha mikoa kanda zote za tanzania na sgr kwaiyo ndio maana serikali imehamua ijenge sgr
Geza Ulole that is correct. Mtwara port itapata traffic kubwa na kurelieve pressure from Dar port ambayo inabeba mizigo nyingi ikiwemo za SADC ilhali Dar port ipo mbali na SADC. Utumizi wa Mtwara port utapunguza gharama za usafiri na kupunguza muda wa usafiri na kufanya hio corridor ya Mtwara kuwa very competitive na itaweza kucompete na ports zingine za SADC. Pia itafanya town ya Mtwara kugrow na kupata biashara nyingi e.t.c. Kwa mfano, kwa sababu mizigo from Mtwara to Zambia zitakuwa zinawasili kwa haraka na kwa bei nafuu basi usishangae Zambia wakipunguza matumizi ya port of Walvis Bay in Namibia na kuongeza matumizi ya Mtwara port. Yaani 60% ya imports ya Walvis Bay port inaelekea Zambia halafu pia kiasi fulani ya copper ya Zambia pia inakuwa exported from Walvis Bay port.
Namport, operating as the National Port Authority in Namibia since 1994, manages both the Port of Walvis Bay and the Port of Lüderitz in Namibia.
www.namport.com.na
xng hua tatizo moja kubwa ya kutumia SGR kisha kuswitch to cape-gauge ni kuwa mtahitajika kujenga railway switching yard na hata pia ICD (inland container depot) maana mtahitajika kustore containers kwa muda mfupi kabla ya kuipakia kwenye train ya pili. Pia mtalazimika kununua cranes na kuzifunga kwenye ICD ili cranes hizo zitransfer containers from one train to another . Ujenzi wa ICD, switching yards na ununuzi wa cranes mpya unagharimu pesa nyingi. Mbona mpitie masaibu haya yote ilhali mnaweza kuyaepuka virahisi kwa kutumia cape-gauge badala ya SGR?

xng hua tatizo moja kubwa ya kutumia SGR kisha kuswitch to cape-gauge ni kuwa mtahitajika kujenga railway switching yard na hata pia ICD (inland container depot) maana mtahitajika kustore containers kwa muda mfupi kabla ya kuipakia kwenye train ya pil. Pia mtalazimika kununua cranes na kuzifunga kwenye ICD ili cranes hizo zitransfer containers from one train to another . Ujenzi wa ICD, switching yards na ununuzi wa cranes mpya unagharimu pesa nyingi. Mbona mpitie masaibu haya yote ilhali mnaweza kuyaepuka virahisi kwa kutumia cape-gauge badala ya SGR?
Zen after few years hizo nchi zikiamua kujenga SGR na sisi tuanze kujenga reli mpya ya sgr? Huoni kama dunia ishabadilika na inaonekana sgr iko more efficient compared to cape gauge? Huoni kwamba tutaingia gharama mpya kwnn tusijenge SGR tukakubali hasara in the short run but profit in the long run?

Nani amekuambia kwamba nchi zote zina pesa au uwezo huo? Mbona USA haijawahi kujenga SGR? Ni kwa sababu USA hana haja ya kujenga SGR ilhali tayari ana railway inayofanya kazi. Wewe inaonekana unadhani nchi za Africa zina pesa sana.
Geza Ulole that is correct. Mtwara port itapata traffic kubwa na kurelieve pressure from Dar port ambayo inabeba mizigo nyingi ikiwemo za SADC ilhali Dar port ipo mbali na SADC. Utumizi wa Mtwara port utapunguza gharama za usafiri na kupunguza muda wa usafiri na kufanya hio corridor ya Mtwara kuwa very competitive na itaweza kucompete na ports zingine za SADC. Pia itafanya town ya Mtwara kugrow na kupata biashara nyingi e.t.c. Kwa mfano, kwa sababu mizigo from Mtwara to Zambia zitakuwa zinawasili kwa haraka na kwa bei nafuu basi usishangae Zambia wakipunguza matumizi ya port of Walvis Bay in Namibia na kuongeza matumizi ya Mtwara port. Yaani 60% ya imports ya Walvis Bay port inaelekea Zambia halafu pia kiasi fulani ya copper ya Zambia pia inakuwa exported from Walvis Bay port.
Namport, operating as the National Port Authority in Namibia since 1994, manages both the Port of Walvis Bay and the Port of Lüderitz in Namibia.
www.namport.com.na
xng hua tatizo moja kubwa ya kutumia SGR kisha kuswitch to cape-gauge ni kuwa mtahitajika kujenga railway switching yard na hata pia ICD (inland container depot) maana mtahitajika kustore containers kwa muda mfupi kabla ya kuipakia kwenye train ya pili. Pia mtalazimika kununua cranes na kuzifunga kwenye ICD ili cranes hizo zitransfer containers from one train to another . Ujenzi wa ICD, switching yards na ununuzi wa cranes mpya unagharimu pesa nyingi. Mbona mpitie masaibu haya yote ilhali mnaweza kuyaepuka virahisi kwa kutumia cape-gauge badala ya SGR?
mimi sio mtaalam sana na nilijaribu kujiongeza tuu ila nna matumaini uamuzi wowote uliochukuliwa ni mzuri kwa manufaa yetu Geza Ulole
sidhani kama serikali itaacha tazara ife maana apo ilipo ni tiamajitiamaji
na ndo maana waliamua project iwe ppp

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.