Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
- Thread starter
-
- #10,181
what if they cheat (underdeclare)? Wacha upumbavu uko kichwani mwako kuna ugoro!They can disclose audit report to the Kenyan tax aurhorities but they are under no obligation to display their audit report to the public. This is a fundamental principle of auditing.
Wewe unataka kunifunza accounting/auditing? Wewe ni nani unitukane na huna lolote unalojua katika profession hii?what if they cheat (underdeclare)? Wacha upumbavu uko kichwani mwako kuna ugoro!
The SC verdict has expended the scope of Art.149 in following manner:Wewe unataka kunifunza accounting/auditing? Wewe ni nani unitukane na huna lolote unalojua katika profession hii?
Naweza kukuaibisha vibaya sana. Kwanza kwa ujinga ulionao unasema kwamba serikali inatumia audit report kucalculate tax ilhali hujui kwamba audit report haina all the information required to calculate tax. KRA ikiwa inataka kujua kama kampuni fulani inadanganya huwa wanatembelea kampuni hio na kuitisha various books of account ikiwemo financial statement, P&L account, bank statement, ledgers, cash books, journals, na audit report. Ila audit report pekee haina all the information required kucalculate tax. Na ukinitukana tena mjadala unaisha. Sipendi ujinga wako wa matusi. Unajiona unajua kila kitu wakati hujui lolote. Mambo ya accounting/auditing huwezi kunikingia kifua mjinga wewe.what if they cheat (underdeclare)? Wacha upumbavu uko kichwani mwako kuna ugoro!
Tunazungumza kuhusu Tatu city na sheria za Kenya kuhusu auditing Private Kenyan companies na wewe unaniletea utopolo kuhusu sheria za Tanzania. Nani ng'ombe kati yangu mimi na wewe? Wewe unaelewa tax laws za Kenya? Unaelewa IFRS ni nini kwanza? Unaelewa jinsi ya kucalculate net taxable income? Nipe kila IFRS na kazi yake. Halafu uniambie wakati tunacalculate net taxable income tunadebit nini na tunacredit nini?The SC verdict has expended the scope of Art.149 in following manner:
- Natural resources such as spectrum, oil, gas and minerals- belong to people.
- Whenever Union, State, Local bodies or private entities are exploiting natural resources, they’re accountable to people via Parliament.
- Although CAG doesn’t have powers to audit any private sector companies under Companies act.
- But when private sector is exploiting natural resources under PPP or revenue sharing agreements, every unlawful gain by company is a loss to consolidated fund of India.
- Therefore, CAG has right to audit the receipts of private sector companies that share revenue with the government for use of spectrum.
SC Judgement: CAG has right to audit private companies
Art 149 of the Constitution empowers CAG to audit the accounts of Union, States and other bodies as prescribed by any law of parliament. Accordingly, CAGmrunal.org
Babako aliuza ng'ombe kupeleka shule ng'ombe nyingine!
My friend you are thick upstairs. Sasa unalinganisha private sectors that deal with the natural resources (Public) na zile that deals with real estate? Natural resource is a public resource so the private body that explores it is like an employee employed by the public but in this case he pays himself from the sales of those resources until that day that he scoops all the money he used in the investment. The reason why audit is carried out in those companies is to prevent under reporting of extracted minerals. For the private entities that deals in real estate, they don't have any obligation to full fill apart from paying taxes. So instead of insulting Tony254 I think you should focus more on understanding the difference between public and private sector and different types of private sectors.The SC verdict has expended the scope of Art.149 in following manner:
- Natural resources such as spectrum, oil, gas and minerals- belong to people.
- Whenever Union, State, Local bodies or private entities are exploiting natural resources, they’re accountable to people via Parliament.
- Although CAG doesn’t have powers to audit any private sector companies under Companies act.
- But when private sector is exploiting natural resources under PPP or revenue sharing agreements, every unlawful gain by company is a loss to consolidated fund of India.
- Therefore, CAG has right to audit the receipts of private sector companies that share revenue with the government for use of spectrum.
SC Judgement: CAG has right to audit private companies
Art 149 of the Constitution empowers CAG to audit the accounts of Union, States and other bodies as prescribed by any law of parliament. Accordingly, CAGmrunal.org
Babako aliuza ng'ombe kupeleka shule ng'ombe nyingine!
You are correct. Shida yake ni matusi. Kama angetulia ningemfunza lakini kwa sababu anajifanya mjuaji nimewachana na yeye.My friend you are thick upstairs. Sasa unalinganisha private sectors that deal with the natural resources (Public) na zile that deals with real estate? Natural resource is a public resource so the private body that explores it is like an employee employed by the public but in this case he pays himself from the sales of those resources until that day that he scoops all the money he used in the investment. The reason why audit is carried out in those companies is to prevent under reporting of extracted minerals. For the private entities that deals in real estate, they don't have any obligation to full fill apart from paying taxes. So instead of insulting Tony254 I think you should focus more on understanding the difference between public and private sector and different types of private sectors.
Hehehe that guy is beyond teaching due to his age. You will teach him something today then tomorrow he forgets the same thing you taught him.You are correct. Shida yake ni matusi. Kama angetulia ningemfunza lakini kwa sababu anajifanya mjuaji nimewachana na yeye.
Nimekuuliza kama CAG Kenya hafanyi audit kwa private company what if the private companies underdeclare the tax they pay?Tunazungumza kuhusu Tatu city na sheria za Kenya kuhusu auditing Private Kenyan companies na wewe unaniletea utopolo kuhusu sheria za Tanzania. Nani ng'ombe kati yangu mimi na wewe? Wewe unaelewa tax laws za Kenya? Unaelewa IFRS ni nini kwanza? Unaelewa jinsi ya kucalculate net taxable income? Nipe kila IFRS na kazi yake. Halafu uniambie wakati tunacalculate net taxable income tunadebit nini na tunacredit nini?
Public (govt) auditor anahusiana vipi na private companies? Unaona jinsi wewe ni mjinga halafu unanitukana mimi? Ama unataka nikufafanulie kazi na majukumu ya government auditor?Nimekuuliza kama CAG Kenya hafanyi audit kwa private company what if the private companies underdeclare the tax they pay?
This guy ananiuliza why a public auditor is not auditing private companies. Sijui ni bangi gani anavuta.Hehehe that guy is beyond teaching due to his age. You will him something today then tomorrow he forgets the same thing you taught him.
Ebu mulize kama CAG ashaienda kwa kibanda chake cha kupikia uji kufanya auditing😂😂This guy ananiuliza why a public auditor is not auditing private companies. Sijui ni bangi gani anavuta.
Hahaha 😁😂😂🤣Ebu mulize kama CAG ashaienda kwa kibanda chake cha kupikia uji kufanya auditing😂😂
Hata ningekuwa mimi nisingempa. Siyo kila snitch apewe documents ambazo ni za national security. Leo zingekuwa zimetapakaa kila kona kwa namna anavyoropoka.
Kuna taratibu za kazi na kuna uzalendo juu yake. Kwa mfano;
Kwa mujibu wa mkataba wa ujenzi wa lot 1, Local Content kwenye HR ni 80%. Ila tangia mradi uanze tumecheza kwenye 95-96%. Hivyo vibali vya kazi Magu angekuwa anavitoa kama njugu, huyu poyoyo anadhani tungeifikia hiyo asilimia?
Hawa wasomi wetu wasiwe tu na akili za darasani. Wawe na akili za kujitegemea pia.
Kwani ni kina nani ndo wanamake profit saa hii?Nyie SGR-Kenya Mna-Make losses mpaka saa hii!
Na tena haujaongeza na zile empty containers ambazo zimesharegeshwa bandarini zinangoja kupakiwa kwa meli. Kuna wale ambao hawajalipia nauli ya kusafirisha, etc. Alafu sio contena zote zinazotoka Mombasa zinaletwa na SGR, zengine zinachukuliwa na malori.Your reasoning is very pathetic. Not all cargo that unloaded at the Port are destined towards Nairobi. Some remain in Mombasa so they don't need to be put on the train. The ones that are also meant to go to Tanzania don't have to be loaded on a train. So if you see those containers there you have to know that either they are not going to Nairobi or they are the empty ones that are always returned.