Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Nigeria's SGR Terminal plus trains





MY TAKE
Way better than what was built by our yapping neighbor!
A Nigerian comedian has dissuaded Kenyans from complaining about the cost of the Standard Gauge Railway launched by President Uhuru Kenyatta last week.
Adeola Fayehun, a popular comedian who posts her skits on YouTube, told Kenyans that Nigeria spent four times more on a similar project and yet they have nothing to show for it.
In her latest episode of Keeping It Real with Adeola , she talks of how Kenya has some of the best train stations, β€œeven better than our airports.”
The show is titled β€˜Kenya’s $3.2 Billion Train Project Beats Nigeria’s $12 Billion Train Project’. https://nairobinews.nation.co.ke/chillax/nigerian-comedian-tells-kenyans-stop-whining-sgr-video
 
I won't be surprised kuwaona na trains kama za Ethiopia [emoji23][emoji23]
So, za Ethiopia ndio tutapata hizo 19 kwa $60mil? Wallahi nmecheka sn jinsi mtu anaumia na maendeleo ya Tz, mara aseme hiyo pesa haiwezi kununua train 19 mara akili zinamrejea anasema tutanunua km za Ethiopia kwamba za Ethiopia sio za umeme yn zinatumia kuni km zao [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Bwana Mapesa hata ulie vp ila ukinyamaza tu juwa kwamba treni ya kwanza ya umeme hapa East Africa itafanya safari zake kutoka Dar es salaam all the way to Morogoro region Tanzania [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ni SGR?[emoji1787][emoji1787][emoji23] So sgr ni line tu? Where's the train.
Hebu Google neno hili [emoji117]SGR

Ukiona wamekuletea train weka hapa ili niondoke jamii forums, chuki mzigo wallahi [emoji1787][emoji1787][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji117][emoji1139][emoji117][emoji3545][emoji3545][emoji117][emoji1241][emoji117][emoji375][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikiwa ndani ya SGR yetu sijawai sikia kelele Wala maji yangu kwenye glass kutetemeka. Kelele ya click-clack husikiwa na walio nje kwahivyo hio sio sababu muhimu, jaribu tena!
Geza ulole weka ile video ya gari moshi la Kenya likitoka Mombasa tumsikilizishe mikelele huyu jamaa, yn wazungu waweke Technology ya ku weld reli zen isiwe na tofauti na jointed!! Ulisikia wapi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si ndo hii hapa [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji117][emoji117][emoji90][emoji90][emoji205][emoji205]View attachment 1760740

Sent using Jamii Forums mobile app
Kenya hakuna SGR bali kuna upgraded MGR ni wachina tu wamekuleni pesa [emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ulikua una ndoto ya kua comedian ambia mods wakufungulie sehemu yako ya comedy na ushabik.
Siku ukijiskia kurudi huku kwa mijadala ya watu wazima njoo nikufundishe maana ya SGR.
 
Kama ulikua una ndoto ya kua comedian ambia mods wakufungulie sehemu yako ya comedy na ushabik.
Siku ukijiskia kurudi huku kwa mijadala ya watu wazima njoo nikufundishe maana ya SGR.
Kapanic [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Huwa napenda sana nikifanikiwa kumkasirisha mkunya zen nafurahi zaidi mkunya akipanic akaanza kutoa matusi alafu ban ikamfuata hapo huwa najisikia burudani kabisa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ulikua una ndoto ya kua comedian ambia mods wakufungulie sehemu yako ya comedy na ushabik.
Siku ukijiskia kurudi huku kwa mijadala ya watu wazima njoo nikufundishe maana ya SGR.
You should realize you're talking to a dunce. Some people in this forum do not deserve your response.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…