Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
- Thread starter
- #10,341
sasa kama mhusika hajitambui tufanyeje? wajinga ndo wali wao sio?kiufup mchina ana roho mbaya, alichowafanyia majiran zetu kaskazin hakivumiliki hata kidogo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sasa kama mhusika hajitambui tufanyeje? wajinga ndo wali wao sio?kiufup mchina ana roho mbaya, alichowafanyia majiran zetu kaskazin hakivumiliki hata kidogo
Bussiest highway in east and central africaSGR alongside MGR and the Mombasa-Nairobi Highway
![]()
Aawapii evidence? haiwezi kushinda Dar-Dodoma-Mwanza! au Dar-Mbeya! endelea kujidanganya!Bussiest highway in east and central africa
Acha uongo hata Uganda iko na busiest highway kuwaliko.Aawapii evidence? haiwezi kushinda Dar-Dodoma-Mwanza! au Dar-Mbeya! endelea kujidanganya!
Tanzam Highway (Dar-Mbeya-Nakonde serves Zambia, Malawi, southern DRC, Zimbabwe and further even Kenya trucks use the Highway!
Hamna SGR please, acha kuforce vitu.Hebu Google neno hili [emoji117]SGR
Ukiona wamekuletea train weka hapa ili niondoke jamii forums, chuki mzigo wallahi [emoji1787][emoji1787][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji117][emoji1139][emoji117][emoji3545][emoji3545][emoji117][emoji1241][emoji117][emoji375][emoji375]
Sent using Jamii Forums mobile app
That's a light rail you fool😂😂🤣.Km hii ndio train ya Nijeria kweli iko poa snaa...diesel lakini ya moto....hawa wapuzi wa kaskazini wajifunze apoView attachment 1761085
Mara nyengine kuongea na hawa watu unapoteza brain cellsYou should realize you're talking to a dunce. Some people in this forum do not deserve your response.
Light train is ur foot dimwit!That's a light rail you fool😂😂🤣.
That's not the train Nigerians use in their SGR Mr Methuselah, that's a commuter train that transport people across Abuja.Light train is ur foot dimwit!
Mmoja wao kasema Kenya haina SGR, iko na upgraded MGR (Chanzo kikuu eti sababu haina stima 🤣 🤣 ), mwengine naye huyu amechukua picha ya Lagos light rail ameileta kwa mjadala wa heavy rail za SGR 🤣🤣That's a light rail you fool😂😂🤣.
Please don't rely on Geza Ulole for any serious depart, jamaa ako na akili na ya 5 yrs old kid.Mmoja wao kasema Kenya haina SGR, iko na upgraded MGR (Chanzo kikuu eti sababu haina stima 🤣 🤣 ), mwengine naye huyu amechukua picha ya Lagos light rail ameileta kwa mjadala wa heavy rail za SGR 🤣🤣
Ningetarajia wale walio ingia juzi juzi kwa hii mada ya SGR wawe hawafahamu lakini kuona mtu kama Geza Ulole ambae ndo ni 'expert' wao analeta picha za metro rail kwa mjadala wa SGR, yaani kutoka 2016 hadi sasa baada ya kua kwa hii mada mda wote huo hajajifunza lolote kabisa! Brain cells zakufa jameni, this discussion is too dumb!
Mmoja wao kasema Kenya haina SGR, iko na upgraded MGR (Chanzo kikuu eti sababu haina stima 🤣 🤣 ), mwengine naye huyu amechukua picha ya Lagos light rail ameileta kwa mjadala wa heavy rail za SGR 🤣🤣
Ningetarajia wale walio ingia juzi juzi kwa hii mada ya SGR wawe hawafahamu lakini kuona mtu kama Geza Ulole ambae ndo ni 'expert' wao analeta picha za metro rail kwa mjadala wa SGR, yaani kutoka 2016 hadi sasa baada ya kua kwa hii mada mda wote huo hajajifunza lolote kabisa! Brain cells zakufa jameni, this discussion is too dumb!
Sasa unabisha nini mjombire, kazi yako kushinda hku na kusubiria comments za wakenya ili ujibu negative tuAawapii evidence? haiwezi kushinda Dar-Dodoma-Mwanza! au Dar-Mbeya! endelea kujidanganya!
Tanzam Highway (Dar-Mbeya-Nakonde serves Zambia, Malawi, southern DRC, Zimbabwe and further even Kenya trucks use the Highway!
Jamaa mpuuzi sana hyo, yani kazi yake ni kupinga tu bila ya hata facts..basi si walau awe akifanya research kwanza before aanze kupinga pinga vituAcha uongo hata Uganda iko na busiest highway kuwaliko.
So you comparing passenger train to cargo train, i can see the level of your stupid rising as hell..
Light train is ur foot dimwit!Mmoja wao kasema Kenya haina SGR, iko na upgraded MGR (Chanzo kikuu eti sababu haina stima 🤣 🤣 ), mwengine naye huyu amechukua picha ya Lagos light rail ameileta kwa mjadala wa heavy rail za SGR 🤣🤣
Ningetarajia wale walio ingia juzi juzi kwa hii mada ya SGR wawe hawafahamu lakini kuona mtu kama Geza Ulole ambae ndo ni 'expert' wao analeta picha za metro rail kwa mjadala wa SGR, yaani kutoka 2016 hadi sasa baada ya kua kwa hii mada mda wote huo hajajifunza lolote kabisa! Brain cells zakufa jameni, this discussion is too dumb!
Where is ur fact dimwit?Jamaa mpuuzi sana hyo, yani kazi yake ni kupinga tu bila ya hata facts..basi si walau awe akifanya research kwanza before aanze kupinga pinga vitu
Light train is ur foot dimwit!
From Lagos to Ibadan the distance is 131km n u call that a light train? Which light train travels that long distance?
if that's 👆 a light train how about this 👇
View attachment 1761418
wanapata vitu old kioo macho mawili kama miwani
We zako ziko wapi, au ndio umekuja kupinga kw mihemko tu hku ukitaja taja vi highway vyenu..Where is ur fact dimwit?