Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
- Thread starter
-
- #10,521
kwani reli ni SGR tu? Je MGR?Watch drone videos za sgr from syokimau to Suswa station uone kama kuna takataka kama izo,
Watu wanajenga kishetani,
Designs zenyewe Ni mamabati za paa Ni 10terabytes!!
Mama anakaa hataki kufund huo mradi wa esgra pamoja na ule struggling gorge dam.Gongo la mboto lIlikuwa lizinduliwe August sasa imesongezwa hadi November?
Mbona bado media ya Tz bado inatumia picha za SGR Kenya kama mfano wa SGR Tz?Kenya SGR hoyeeView attachment 1791546
Unateseka ukiwa wapiMama anakaa hataki kufund huo mradi wa esgra pamoja na ule struggling gorge dam.
Both projects are good as dead
Mbona bado media ya Tz bado inatumia picha za SGR Kenya kama mfano wa SGR Tz?
Hawa jamaa mradi wao umefika 90% na bado hawana picha nzuri za reli yao?
Mimi hushangaa.Mbona bado media ya Tz bado inatumia picha za SGR Kenya kama mfano wa SGR Tz?
Hawa jamaa mradi wao umefika 90% na bado hawana picha nzuri za reli yao?
Nikiwa kaburini [emoji23]Unateseka ukiwa wapi
Uyo mwamba anakuumizi kichwa sana ameshaacha alama yake duniani hata kama mbaya ila wewe utakufa na kuzikwa kama mbwa hata familia yako itasahau kaburi lakoNikiwa kaburini [emoji23]View attachment 1791791
Piga nyungu [emoji23] na bado ukufe kama magufuliUyo mwamba anakuumizi kichwa sana ameshaacha alama yake duniani hata kama mbaya ila wewe utakufa na kuzikwa kama mbwa hata familia yako itasahau kaburi lako
Andika vizuri ueleweke, ni picha ya Kenya katumika kuonyesha SGR-Tz au la?you’re really a dumb na wenzako.. somen hata tar ya gazet
Wa Mombasa wanaongea Kiswahili fasaha sema hicho kiswahili cha Othaya!Mpumbavu nyanyako mzaa babako!
Hio sentensi yangu ni Kiswahili Cha Mombasa kinaeleweka, katumika vibaya, kaoshwa na matope, kapigwa na mkewe, flani kavunja ukuta, kazabwa makofi...n.k
Lakini "somen hata tar" ndo nini?
Na mbona nyie pia mnatumia picha za DART for BRT Kenya?Andika vizuri ueleweke, ni picha ya Kenya katumika kuonyesha SGR-Tz au la?
Kenyan Vlogger VS Tanzanian Registered Media houses!Na mbona nyie pia mnatumia picha za DART for BRT Kenya?
Hauezi ukanifundisha kiswahili cha kwetuWa Mombasa wanaongea Kiswahili fasaha sema hicho kiswahili cha Othaya!
Wewe pumbavu Kiswahili kina formula na unapoongea broken na kusahihisha kubali!Hauezi ukanifundisha kiswahili cha kwetu
Kuna vitu vinaitwa vitenzi huwezi kusema ati picha katumika bali unasema "Picha i-me-tumika"Hakuna kiswahili broken nimeongea hapo, kama hakubali lahaja ya kwetu kajinyonge!
Nyanyako alikosea sana alipomzaa babako, Soma senstenzi nzima ndo utoe kitenzi chake, sio kuchukua tu maneno mawili 'picha katumiaka" kana kwamba hayo maneno yalikua kwa sentensi kivyake, Senteni yangu kamili ni ---- "ni picha ya Kenya katumika kuonyesha SGR-Tz au la?"Kuna vitu vinaitwa vitenzi huwezi kusema ati picha katumika bali unasema "Picha i-me-tumika"