Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Watch drone videos za sgr from syokimau to Suswa station uone kama kuna takataka kama izo,
Watu wanajenga kishetani,
Designs zenyewe Ni mamabati za paa Ni 10terabytes!!
kwani reli ni SGR tu? Je MGR?
 
Mbona bado media ya Tz bado inatumia picha za SGR Kenya kama mfano wa SGR Tz?

Hawa jamaa mradi wao umefika 90% na bado hawana picha nzuri za reli yao?
Mimi hushangaa.

But it seems Kenya SGR ni masterpiece ambayo hadi CCM wanakubali kutoa lessons na picha za kuzubaisha watanzania.

Unajua Watanzania wengi hawana exposure kwa huyo wengi hawajui kama hiyo picha ya SGR ni ya reli ya Kenya au Tanzania.
View attachment 1791790
 
Unateseka ukiwa wapi
Nikiwa kaburini [emoji23]
E1Vw_cyWEAEL_r7.jpg
 
Mpumbavu nyanyako mzaa babako!

Hio sentensi yangu ni Kiswahili Cha Mombasa kinaeleweka, katumika vibaya, kaoshwa na matope, kapigwa na mkewe, flani kavunja ukuta, kazabwa makofi...n.k

Lakini "somen hata tar" ndo nini?
Wa Mombasa wanaongea Kiswahili fasaha sema hicho kiswahili cha Othaya!
 
Kuna vitu vinaitwa vitenzi huwezi kusema ati picha katumika bali unasema "Picha i-me-tumika"
Nyanyako alikosea sana alipomzaa babako, Soma senstenzi nzima ndo utoe kitenzi chake, sio kuchukua tu maneno mawili 'picha katumiaka" kana kwamba hayo maneno yalikua kwa sentensi kivyake, Senteni yangu kamili ni ---- "ni picha ya Kenya katumika kuonyesha SGR-Tz au la?"
Hebu mwanzo tuanze na ile nyimbo ya kwenu ya "nani kamwaga pombe yangu" kwahivyo hapo kakosea sio? Si angesema nani "ame-memwaga", hicho kiswahili alikitoa Othaya sio ?
 
Back
Top Bottom