The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 41,015
- 93,277
So unavyoona sgr Kenya na sgr Tz zinafanana? Yupi anayetakiwa kuiga mwenzake?View attachment 1795089
Hata kama, si hapo kulia hio picha kubwa ni ya SGR-Tz, Sasa kulikua na haja gani kuongezea na hio picha nyingine ya Kenya hapo juu ya upande wa kushoto? Si wangetumia picha ya muonekano/render ya Tz na ingeeleweka kwamba hilo ni daraja bado linajengwa na likimalizika litakaa hivyo.
Hiyo picha aliyepost nani? Ni serikali ya Tanzania au sio?View attachment 1795089
Hata kama, si hapo kulia hio picha kubwa ni ya SGR-Tz, Sasa kulikua na haja gani kuongezea na hio picha nyingine ya Kenya hapo juu ya upande wa kushoto? Si wangetumia picha ya muonekano/render ya Tz na ingeeleweka kwamba hilo ni daraja bado linajengwa na likimalizika litakaa hivyo.
Nyinyi ndo mtuambie manake mshatuiga, na si mara ya Kwanza!So unavyoona sgr Kenya na sgr Tz zinafanana? Yupi anayetakiwa kuiga mwenzake?
hapa hamkuwa na render ya BRT Nairobi? Au yale mabasi yenu ya ISUZU?View attachment 1795089
Hata kama, si hapo kulia hio picha kubwa ni ya SGR-Tz, Sasa kulikua na haja gani kuongezea na hio picha nyingine ya Kenya hapo juu ya upande wa kushoto? Si wangetumia picha ya muonekano/render ya Tz na ingeeleweka kwamba hilo ni daraja bado linajengwa na likimalizika litakaa hivyo.
Na hii?
BRT system ready to zoom off as first 64 buses being shipped
28
SHARES
ShareTweet
Several countries have adopted the BRT system including neighbouring Tanzania/COURTESY
NAIROBI, Kenya, Jan 28 – The much-anticipated Bus Rapid Transit (BRT) system aimed at decongesting Nairobi city will soon become operational after the Ministry of Transport finalized the purchase of the first batch of buses.
Speaking after meeting with stakeholders in the public transport sector Monday, Transport Cabinet Secretary James Macharia said the first batch of 64 BRT buses to be used for the pilot scheme is ready for shipping from South Africa.
“We decided that we require an integrated transport system whereby we bring the trains and the BRT buses,” said Macharia.
He also announced that negotiations are ongoing to procure of 11 diesel trains from Spain.
All these, he said, are efforts by the government to provide robust public transport in the capital city.
Macharia said after piloting, local manufacturers will have the opportunity to see the specifications and have the remaining BRT buses manufactured locally.
“This is just a pilot and the city will require at least 900 BRT so those remaining can be done locally after our manufacturers see the sample,” he said.
Some of the specifications of the BRT buses include two doors on the right hand side, driver controlled safety gadgets, roll over cage structure, stainless steel frame and electronic cash system among others.
Macharia said they are working to ensure that there is efficient public transport so as to discourage people from driving to the city, which causes congestion.
Several countries have adopted the BRT system including neighbouring Tanzania.
Matatu Owners Association Chair Simon Kimutai who was present urged private players to prepare to adopt to the new changes as the Bus Rapid Transit system will be run in collaboration with the private sector.
Kimutai demystified the allegations that the BRT system has come to push out the private sector from the public transport business, saying those were unfounded allegations.
“It has been confirmed to us from the ministry that no other person will run this, but those running the business today so we are together in this and now it’s just an issue of getting ready. The city is bigger than any of us and we want to be good example in transport provision in this area,” said Kimutai.
Matatu Welfare Association Chair Dickson Mbugua also said he was pleased that the Ministry of Transport had involved them in all the processes of implementing the BRT system.
“We decided to support the government in actualizing the BRT so that we can change the mode of transport in this country. We cannot afford to lag behind and we want to ensure fast urban mobility,” said Mbugua.
BRT system ready to zoom off as first 64 buses being shipped
NAIROBI, Kenya, Jan 28 - The much-anticipated Bus Rapid Transit (BRT) system aimed at decongesting Nairobi city will soon become operational after the - Kenya breaking news | Kenya news today | Capitalfm.co.kewww.capitalfm.co.ke
Tumewaiga kwenye nn electrical sgr au JNHP au BRT au kwenye ujenzi wa meli au airports za kisasa? Be specific what kind of project we copied from u Northern [emoji205][emoji205]Nyinyi ndo mtuambie manake mshatuiga, na si mara ya Kwanza!
Wewe Mkunya mpumbavu, geothermal inahusiana vp na SGR?A feature documentary about Tulu Moye Geothermal power plant in Ethiopia. Kengen is mentioned from 11:30
Kwani haukumbuki unachoandika? Ulisema, " So unavyoona sgr Kenya na sgr Tz zinafanana? Yupi anayetakiwa kuiga mwenzake?"Tumewaiga kwenye nn electrical sgr au JNHP au BRT au kwenye ujenzi wa meli au airports za kisasa? Be specific what kind of project we copied from u Northern [emoji205][emoji205]
Haijalishi, sisi tuli-credit kwamba hio ni BRT ya Tanzania, hatukuweka tu picha bila kutaja ni ya wapi kama nyinyi mlivyofanya. Kama Tungefanya hivyo, wasomaji gazeti ambao hawajawahi kufika Nairobi wangechukulia hio ya Tz ni BRT ya Nairobi!hapa hamkuwa na render ya BRT Nairobi? Au yale mabasi yenu ya ISUZU?
Kwani unadhani SGR ya Kenya ndio haina fence? Unapost upuzi tu hapa.Wakenya oneni elimu ilivyotusaidia Watz, now tunai fence reli yetu adhimu na ya mfano hapa Afrika na duniani kwa ujumla, onaa [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji117][emoji117][emoji90][emoji90][emoji117][emoji1139][emoji117][emoji3545][emoji2781][emoji706]View attachment 1797496
Kwn Kenya kuna SGR?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwani unadhani SGR ya Kenya ndio haina fence? Unapost upuzi tu hapa.
Na hawa ng'ombe waligongwa vp? Waliruka fence?Kwani unadhani SGR ya Kenya ndio haina fence? Unapost upuzi tu hapa.
Stop embarrassing yourselfWakenya oneni elimu ilivyotusaidia Watz, now tunai fence reli yetu adhimu na ya mfano hapa Afrika na duniani kwa ujumla, onaa [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji117][emoji117][emoji90][emoji90][emoji117][emoji1139][emoji117][emoji3545][emoji2781][emoji706]View attachment 1797496
Mwanzo fense ya Tz ni 53 km pekee, kwa reli ya 300km!Wakenya oneni elimu ilivyotusaidia Watz, now tunai fence reli yetu adhimu na ya mfano hapa Afrika na duniani kwa ujumla, onaa [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji117][emoji117][emoji90][emoji90][emoji117][emoji1139][emoji117][emoji3545][emoji2781][emoji706]View attachment 1797496
Story yako hii hapa. Ndovu ndo walivunja fense sababu walikua hawajazoea kupita chini ya underpass za SGR. Fense hio ilikaa hivyo bila kurekebishwa kwa mwezi ndo hao ngombe wakaingia hapo, Kuna wanyama wengi sana waligongwa mwezi huo si ngombe tu, chui, Simba, nyani, nyati.. ndo fense ikarekebishwa. Tena ni bahati SGR yetu iko juu kiasi Cha kua mnyama kama ndovu hawezi kupanda, nyi huko kwenu ombeni Sgiara yenu iwe haipitii mbugani manake kama Kuna ndovu wataweza kupanda hadi juu ya reli.Na hawa ng'ombe waligongwa vp? Waliruka fence?