Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waendelee kungoja kwavile inatupa muda wa kumaliza yetu!Unaona jinsi Kenya ni muhimu? Uganda hawawezi kujenga reli wanatungoja sisi. Hata hawataji kuunga reli yao na Tanzania. Hahaha. Sisi ndio tegemeo ukanda huu.
Hata mkimaliza yenu wao hawataunga yao na yenu. Wao hata hawazungumzii kujenga SGR kuelekea TZ. Nyinyi ndio mnajisumbua kujenga SGR kuelekea Uganda. Wao wanataka kujenga kuja Kenya. Hawana haja na nyinyi.Waendelee kungoja kwavile inatupa muda wa kumaliza yetu!
Kwani nani kakuambia yetu inategemea kuungana na SGR Uganda? Yetu inahitaji wagon ferries ambazo tunajenga!Hata mkimaliza yenu wao hawataunga yao na yenu. Wao hata hawazungumzii kujenga SGR kuelekea TZ. Nyinyi ndio mnajisumbua kujenga SGR kuelekea Uganda. Wao wanataka kujenga kuja Kenya. Hawana haja na nyinyi.
Tanzania haijengi SGR kwenda Uganda mizigo inafika Mwanza na SGR inapakuwa kwenye meli mpaka Port Bell biashara imeisha. Cost ya mzigo inakuwa chini kwa matumizi ya meli halafu mzigo unatoa DSM ndani ya masaa 7 uko mwanza then overnight kwenye meli to port Bell yasni ndani ya 24 hours mzigo uko Uganda.Hata mkimaliza yenu wao hawataunga yao na yenu. Wao hata hawazungumzii kujenga SGR kuelekea TZ. Nyinyi ndio mnajisumbua kujenga SGR kuelekea Uganda. Wao wanataka kujenga kuja Kenya. Hawana haja na nyinyi.
Kwani nani kakuambia yetu inategemea kuungana na SGR Uganda? Yetu inahitaji wagon ferries ambazo tunajenga!
Magu hakuwa anawasikiliza hawa jamaa.. yeye anaanza tu wengine kwa shingo upande watakubali kupita alipowazia.. alitaka aweke SGR mpk mwanza na pale mwanza port aliplan kununua hizi ferry za mizigo.. sasa mtu ambae yuko jiran na victoria atakataa kweli kupitisha mizigo hapo, wakat kila kitu kipo???
Wagon ferries zenu zina capacity ndogo sana. Kama hio MV Mwanza ina capacity ya kubeba 400 tonnes pekee. Hio ina maana kwamba inaweza kubeba 40 ft containers kumi na sita pekee ambazo kwa wastani huwa zina uzito wa 24 tonnes. Itabidi muwe na wagon ferries zaidi ya thelathini ili mshindane na Kenya. Zaidi ya 800 trucks huvuka border za Kenya za Busia na Namanga kila siku zikielekea UgandaTanzania haijengi SGR kwenda Uganda mizigo inafika Mwanza na SGR inapakuwa kwenye meli mpaka Port Bell biashara imeisha. Cost ya mzigo inakuwa chini kwa matumizi ya meli halafu mzigo unatoa DSM ndani ya masaa 7 uko mwanza then overnight kwenye meli to port Bell yasni ndani ya 24 hours mzigo uko Uganda.
Kuna modern wagon ferry inasubiri kujengwa!Wagon ferries zenu zina capacity ndogo sana. Kama hio MV Mwanza ina capacity ya kubeba 400 tonnes pekee. Hio ina maana kwamba inaweza kubeba 40 ft containers kumi na sita pekee ambazo kwa wastani huwa zina uzito wa 24 tonnes. Itabidi muwe na wagon ferries zaidi ya thelathini ili mshindane na Kenya. Zaidi ya 800 trucks huvuka border za Kenya za Busia na Namanga kila siku zikielekea Uganda
Wacha tusubiri tujue itakuwa na uwezo wa kubeba tonnes ngapi. Ferry moja au mbili ni chache mno. Mizigo zipo, swali ni je mna uwezo wa kuzibeba? Kama nilivyosema kuna zaidi ya 800 trucks zinazovuka border ya Kenya kuelekea Uganda kila siku kwa hivyo mizigo zipo na zinazidi kuongezeka kwa hivyo hatuna shida mkitusaidia kubeba zingine. Ila lazima nanyi muwe na wagon ferries kadhaa kubwa zinazoweza kubeba containers angalau mia moja kwa mpigo yaani hio ferry iwe na uwezo wa kubeba angalau 2,400 tonnes, ili muweze kucompete na Kenya.Kuna modern wagon ferriy inasubiri kutajengwa!
Tafuta umu nili-post Bunge lilipopitisha budget yake!Wacha tusubiri tujue itakuwa na uwezo wa kubeba tonnes ngapi. Mizigo zipo, swali ni je mna uwezo wa kuzibeba? Kama nilivyosema kuna zaidi ya 800 trucks zinazovuka border ya Kenya kuelekea Uganda kwa hivyo mizigo zipo na zinazidi kuongezeka kwa hivyo hatuna shida mkitusaidia kubeba zingine. Ila lazima nanyi muwe na wagon ferries kadhaa kubwa zinazoweza kubeba containers angalau mia moja kwa mpigo yaani hio ferry iwe na uwezo wa kubeba angalau 2,400 tonnes, ili muweze kucompete na Kenya.
siyo mbaya inawezekana kama ni kutoka Korea! Design zipo nyingi!Jamani watz wenzangu ninahisi kama train zetu tulizooagiza zinaweza kuwa kama hizi hapa au mwenye data za uhakika atueleweshe tafadhali View attachment 1803379
Gongo la mbotoJamani watz wenzangu ninahisi kama train zetu tulizooagiza zinaweza kuwa kama hizi hapa au mwenye data za uhakika atueleweshe tafadhali View attachment 1803379
Kampuni ni ile iliyotengeneza zile deluxe train zetusiyo mbaya inawezekana kama ni kutoka Korea! Design zipo nyingi!
inaitwaje hapa hawa Liebherr wamepewa contract ya kutengeneza heating-, ventilation- and air conditioning (HVAC) units! Ila still Korail's Korean locomotive and railway car builder Sung Shin Rolling Stock Technology (RST) ndo inajenga train na zitakuwa zao yaani zitabebe nembo yao! Ila hiyo model inawezekana pia haswa zile EMUs! Na pia hizi inawezekana ni zile MGR JPM alizo-promise October!Kampuni ni ile iliyotengeneza zile deluxe train zetu
Liebherr HVAC Units for Trains in Bangladesh and Tanzania - Liebherr
Liebherr-Transportation Systems (China) has been selected by the Korean locomotive and railway car builder Sung Shin Rolling Stock Technology (RST) to deliverwww.liebherr.com


Hizo treni zenu sio bullet train. Zinafanana kama treni za kawaida.Kampuni ni ile iliyotengeneza zile deluxe train zetu
Liebherr HVAC Units for Trains in Bangladesh and Tanzania - Liebherr
Liebherr-Transportation Systems (China) has been selected by the Korean locomotive and railway car builder Sung Shin Rolling Stock Technology (RST) to deliverwww.liebherr.com
Hehehe hizi hata heri zile za Ethiopia 😂😂😂🤣🤣🤣Jamani watz wenzangu ninahisi kama train zetu tulizooagiza zinaweza kuwa kama hizi hapa au mwenye data za uhakika atueleweshe tafadhali View attachment 1803379