Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
JPM si Mungu! Bandari ya bagamoyo aijenge mwenyewe kisa? Kwanini asiachie private investors na kutumia hizo funds kufanya vingine?I still belive if JPM was alive ht Bandari ya Bagamoyo angeijenga mwenyewe...Raisi wangu yule alikua a true Pan Africanist who believed on our own things...
Ni kweli JPM sio Mungu bt hakuna ubaya ktk kujenga cha kwako...aliamini ktk hilo na mimi namuunga mkono...am a biliver of our own things, ht km ni private but iwe with a local content not by foreigners..JPM si Mungu! Bandari ya bagamoyo aijenge mwenyewe kisa? Kwanini asiachie private investors na kutumia hizo funds kufanya vingine?
Sioni economic viable ya kujenga bandari ya bagamoyo just few km from Dar port its rediculous....its more like a death wish to Dar portJPM si Mungu! Bandari ya bagamoyo aijenge mwenyewe kisa? Kwanini asiachie private investors na kutumia hizo funds kufanya vingine?
economic significance yake ipo beyond ur reasoning sikulaumu! Pitia maelezo ya Jumuiya ya wafanyabisahara Binafsi upate maarifa kidogo!Sioni economic viable ya kujenga bandari ya bagamoyo just few km from Dar port its rediculous....its more like a death wish to Dar port
Kwahiyo tuwe na bandari kubwa mbili sehemu moja zen mzigo wa kulisha hizo bandari utatoka wapi, wakati mwingine Geza huwa sikuelewi kabisa, siku hizi umekuwa anti Magu kwa mambo mengi hata yale ya wazi kabisa kwamba hayati alikuwa right but umekuwa ukipinga kabisa kwanini unafanya hivyo?economic significance yake ipo beyond ur reasoning sikulaumu! Pitia maelezo ya Jumuiya ya wafanyabisahara Binafsi upate maarifa kidogo!
hivi vitu ni nje ya uwezo wenu nyie na Marehemu!Kwahiyo tuwe na bandari kubwa mbili sehemu moja zen mzigo wa kulisha hizo bandari utatoka wapi, wakati mwingine Geza huwa sikuelewi kabisa, siku hizi umekuwa anti Magu kwa mambo mengi hata yale ya wazi kabisa kwamba hayati alikuwa right but umekuwa ukipinga kabisa kwanini unafanya hivyo?
That's a second order! the first is to be due in December 2021!2024!
Kitu low quality utakijua tu, madhara yake ni yale ya kujengewa vyoo km stesheni huku mradi ukimalizika nje ya mdaDar makutupora ni 726km na inajengwa kwa $3.1B....hawa ndugu zetu sijui walikosea wapi...