Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
- Thread starter
-
- #11,201
sasa unataka tujenge madaraja ya mlima wa babel kwani twiga wanapita chini? Hebu pata fahari ya macho kidogo angalia viwango!Kitu low quality utakijua tu, madgara yake ni yale ya kujengewa vyoo km stesheni huku mradi ukimalizika nje ya mda
Naona akili zimeanza kuvurugika..sasa unataka tujenge madaraja ya mlima wa babel kwani twiga wanapita chini?
Kwaio ww ipo ndani ya uwezo wako...[emoji1787][emoji1787]hivi vitu ni nje ya uwezo wenu nyie na Marehemu!
i mean uwezo wa kufikiria economic impact yake! BTW tuongee vingine tuache haya maneno!Kwaio ww ipo ndani ya uwezo wako...[emoji1787][emoji1787]
Tutaongea vingine bt you also need to learn to respect mitazamo ya your fellow country men...learn to agree to disagree sio hii unayofanya ya ku wa shut off na kuwatolea maneno ya kejeli...acting like you and you alone ndie unaejua kila kitu na wengine hawajui kitu...its not worth it.i mean uwezo wa kufikiria economic impact yake! BTW tuongee vingine tuache haya maneno!
Kwahiyo wewe una-respect maoni yangu? Nipe sound economic reasons why bagamoyo port is a bad idea as far as Post Panamax ships of over 400 m are concerned! wewe unabisha kisa unam-worship JPM lakini jamaa had 0 knowledge of economics! Mimi ninaweza kukuambia urefu wa quayside upo limited na huwezi kufanya upanuzi at dar port quayside ni chini ya 3 km! Na uchumi wa madini ya electric cars wa nickel na graphite ( ukijumlisha nchi za jirani pia 8 landlocked countries), gesi na mafuta na Economic zones unaokuja lazma kuwepo na facilities za ku-accomodate ships of over 400 m!Tutaongea vingine bt you also need to learn to respect mitazamo ya your fellow country men...learn to agree to disagree sio hii unayofanya ya ku wa shut off na kuwatolea maneno ya kejeli...its not worth it.
JPM is a reason ht huu uzi kuwepo, he gave us something to write, talk and be proud off, Leo kusema hana uwezo wake wa kufikiria economic impact ya miradi its huge disrespect to him and to your fellow comrades ambao usiku na mchana upo nao kwenye huu uzi. I lay my case... Peace.
JPM ametupa cha kuongea nchi hii, miaka 6 tu nyuma hii nchi ilikuwa ya kipumbavu sn yenye kutia aibu na iliyokosa uthubutu wa viongozi, tukabaki kuwa nyuma nyuma na kuamini hata Rais awe nani haiwezekani, lkn miaka 6 tu ya jemedari ilitosha kuonesha kuwa tulikuwa na viongozi mizigo sn nchi hii, wale Watz waliokuwa wakitukana nchi yao dhidi ya nchi jirani wengi wao wameacha wamebaki wachache wanaoendekeza siasa majitaka but Magu ametufanyia mengi makubwa japo kwa ugumu sn lkn impact yake tutaiona soon na tutaelewa alikuwa anamaanisha nini.Tutaongea vingine bt you also need to learn to respect mitazamo ya your fellow country men...learn to agree to disagree sio hii unayofanya ya ku wa shut off na kuwatolea maneno ya kejeli...its not worth it.
JPM is a reason ht huu uzi kuwepo, he gave us something to write, talk and be proud off, Leo kusema hana uwezo wake wa kufikiria economic impact ya miradi its huge disrespect to him and to your fellow comrades ambao usiku na mchana upo nao kwenye huu uzi. I lay my case... Peace.
sikiliza wacheni kuwa ving'ang'anizi tafuteni cha kufanya! Jua unabishana na mtu mwenye uelewa wa ninachoongea siongelei personality nimekupa sababu! Hapo juu! sasa wewe baki na mawazo yako ila Bandari itaamuliwa na wanaoona inafaa kujengwa! Mama Samia karuhusu majadiliano!JPM ametupa cha kuongea nchi hii, miaka 6 tu nyuma hii nchi ilikuwa ya kipumbavu sn yenye kutia aibu na iliyokosa uthubutu wa viongozi, tukabaki kuwa nyuma nyuma na kuamini hata Rais awe nani haiwezekani, lkn miaka 6 tu ya jemedari ilitosha kuonesha kuwa tulikuwa na viongozi mizigo sn nchi hii, wale Watz waliokuwa wakitukana nchi yao dhidi ya nchi jirani wengi wao wameacha wamebaki wachache wanaoendekeza siasa majitaka but Magu ametufanyia mengi makubwa japo kwa ugumu sn lkn impact yake tutaiona soon na tutaelewa alikuwa anamaanisha nini.
Leo hii tuna rais mpya lkn tunaona serikali inavyojitahidi kuwajibika japo co kwa level ya Magu lkn tunaona mizizi aliyoiweka imeenda chini na kiongozi yeyote wa Tz kwa karne nyingi zijazo atapimwa kwa kipimo cha Magu tutake tusitake.
Kwahiyo wewe una-respect maoni yangu? Nipe sound economic reasons why bagamoyo port is a bad idea as far as Post Panamax ships of over 400 m are concerned! wewe unabisha kisa unam-worship JPM lakini jamaa had 0 knowledge of economics! Mimi ninaweza kukuambia urefu wa quayside upo limited na huwezi kufanya upanuzi at dar port quayside ni chini ya 3 km! Na uchumi wa madini ya electric cars wa nickel na graphite ( ukijumlisha nchi za jirani pia 8 landlocked countries), gesi na mafuta na Economic zones unaokuja lazma kuwepo na facilities za ku-accomodate ships of over 400 m!
Tatfa km kuna uzi mi nisha comment kwa maneno ya shombo km ww unavyowafanyia wenzio, i always comment positively and like ht km kuna vitu naona tunatofautiana mtazamo bt i compliment the effort.Kwahiyo wewe una-respect maoni yangu? Nipe sound economic reasons why bagamoyo port is a bad idea as far as Post Panamax ships of over 400 m are concerned! wewe unabisha kisa unam-worship JPM lakini jamaa had 0 knowledge of economics! Mimi ninaweza kukuambia urefu wa quayside upo limited na huwezi kufanya upanuzi at dar port quayside ni chini ya 3 km! Na uchumi wa madini ya electric cars wa nickel na graphite ( ukijumlisha nchi za jirani pia 8 landlocked countries), gesi na mafuta na Economic zones unaokuja lazma kuwepo na facilities za ku-accomodate ships of over 400 m!
bado hujanipa good economic reasons why mega Bagamoyo port with economic zones is a bad idea? I see Magufuli worship tuu toka kwako! Do u know hub and spoke concept?Tatfa km kuna uzi mi nisha comment kwa maneno ya shombo km ww unavyowafanyia wenzio, i always comment positively and like ht km kuna vitu naona tunatofautiana mtazamo bt i compliment the effort.
To be honest arguing na na mtu anaejua kila kila kitu hua siwezi, let me learn from you.
its seems ww unajua kila kitu.
Kwahiyo wewe una-respect maoni yangu? Nipe sound economic reasons why bagamoyo port is a bad idea as far as Post Panamax ships of over 400 m are concerned! wewe unabisha kisa unam-worship JPM lakini jamaa had 0 knowledge of economics! Mimi ninaweza kukuambia urefu wa quayside upo limited na huwezi kufanya upanuzi at dar port quayside ni chini ya 3 km! Na uchumi wa madini ya electric cars wa nickel na graphite ( ukijumlisha nchi za jirani pia 8 landlocked countries), gesi na mafuta na Economic zones unaokuja lazma kuwepo na facilities za ku-accomodate ships of over 400 m!
Not worth it Mr Much know.good hujanipa economic reason why mega Bagamoyo port with economic zones is a bad idea? I see Magufuli worship tuu toka kwako!
Endelea ku-worship binadamu dini inakataza!Not worth it Mr Much know.
Haya mambo ya kuzuia mitazamo ya wengine na kuona mtazamo wako ndio uko sahihi ni tabia ya ajabu sana hii, tutaweza kugombana kwa hii tabia, mm nachosema je science imefeli kabisa kuiwezesha Dar port kuwa na kina hicho? Na kama haiwezekani kwnn hao walioijenga Dar port hawakujenga Bagamoyo port tangu mwanzo je hawakujua kama Bagamoyo port ni bora kuliko Dar port? So leo hii wamekuja na mpya za kuuwa Dar port na kuanzisha nyingine zen kesho watasema mtwara port ni way better than Bagamoyo port tuwasikilize pia? Hii Bagamoyo port ni project nzr ndio lkn ukiangalia kwa jicho pana c kwa maslahi ya taifa cz Watz tulikuwa tunataka ukweli usemwe pale taifa linapoingia mikataba mikubwa, sasa JPM aliweka mambo hadharani na bado tukashindwa kumuelewa, wewe subiri tupo hapa tuombe uhai, mbn port itajengwa tu.sikiliza wacheni kuwa ving'ang'anizi tafuteni cha kufanya! Jua unabishana na mtu mwenye uelewa wa ninachoongea siongelei personality nimekupa sababu! Hapo juu! sasa wewe baki na mawazo yako ila Bandari itaamuliwa na wanaoona inafaa kujengwa! Mama Samia karuhusu majadiliano!
Nyie ndo mnajaribu kulazimisha nibadili msimamo wangu na nina-argue kama mtu ninayefahamu kinachotaka kufanyika! sasa tafuta cha kufanya si lazma ku-post kunilazimishanibadili msimamo wangu! JPM alikuwa na mapungufu yake pia! kama inakukera shiriki post nyingine! bado hujajibu hizi sababu konki! 👇Haya mambo ya kuzuia mitazamo ya wengine na kuona mtazamo wako ndio uko sahihi ni tabia ya ajabu sana hii, tutaweza kugombana kwa hii tabia, mm nachosema je science imefeli kabisa kuiwezesha Dar port kuwa na kina hicho? Na kama haiwezekani kwnn hao walioijenga Dar port hawakujenga Bagamoyo port tangu mwanzo je hawakujua kama Bagamoyo port ni bora kuliko Dar port? So leo hii wamekuja na mpya za kuuwa Dar port na kuanzisha nyingine zen kesho watasema mtwara port ni way better than Bagamoyo port tuwasikilize pia? Hii Bagamoyo port ni project nzr ndio lkn ukiangalia kwa jicho pana c kwa maslahi ya taifa cz Watz tulikuwa tunataka ukweli usemwe pale taifa linapoingia mikataba mikubwa, sasa JPM aliweka mambo hadharani na bado tukashindwa kumuelewa, wewe subiri tupo hapa tuombe uhai, mbn port itajengwa tu.
Kwahiyo wewe una-respect maoni yangu? Nipe sound economic reasons why bagamoyo port is a bad idea as far as Post Panamax ships of over 400 m are concerned! wewe unabisha kisa unam-worship JPM lakini jamaa had 0 knowledge of economics! Mimi ninaweza kukuambia urefu wa quayside upo limited na huwezi kufanya upanuzi at dar port quayside ni chini ya 3 km! Na uchumi wa madini ya electric cars wa nickel na graphite ( ukijumlisha nchi za jirani pia 8 landlocked countries), gesi na mafuta na Economic zones unaokuja lazma kuwepo na facilities za ku-accomodate ships of over 400 m!
I do agree with geza that you don't really understand what you are talking about🙂I see a low quality trains being offered to you😂😂.
This is what the article is saying 👇👇👇
Electric trains are worth 215.7 billion won and electric locomotives 119.7 billion won. They will be delivered to Tanzania by 2024.
So the total cost of the 80 electric trains are 215B won which is equal to $189M. That means that the cost of one electric train is $2M same to the cost of the diesel train😂😂. Cost of a proper electric train is $6M.
Utaweza ongea maneno yote na itaishia kuwa porojo au siasa lakini unapo kuja kwenye economics akunaga blabla ndugu....lazima bandari moja ife na to be specific ni ya dar port, one day utakuja aminieconomic significance yake ipo beyond ur reasoning sikulaumu! Pitia maelezo ya Jumuiya ya wafanyabisahara Binafsi upate maarifa kidogo!
Ni ngumu kumwelewesha engineer maswala ya uchumiKwahiyo tuwe na bandari kubwa mbili sehemu moja zen mzigo wa kulisha hizo bandari utatoka wapi, wakati mwingine Geza huwa sikuelewi kabisa, siku hizi umekuwa anti Magu kwa mambo mengi hata yale ya wazi kabisa kwamba hayati alikuwa right but umekuwa ukipinga kabisa kwanini unafanya hivyo?
Sioni kama unamada tofauti na emotionalshivi vitu ni nje ya uwezo wenu nyie na Marehemu!