Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

pole sana. i can see the pain in your comment
i won’t argue with you anymore mpka maumivu yaishe
Kuna wakati utafika Nairobi itaonekana kituko mbele ya Dar es Salaam!!!.Mapinduzi ya kiuchumi tunayoyaleta si lele mama!.Tunawika πŸ“ si tu kwa Wakenya ila Africa nzima isikie!!!Sisi ndo wanaume!!!.
 
Apo ndio kinakuja kile kipengele cha maji kuitwa mmaa

pitia humu ucheke comments za wakenya [emoji23][emoji23][emoji23]

 
watakuja kwa topics mpya ila sio kwa hii iliyopo saiz [emoji91]


kuna yule jamaa alikuwa anadai behewa lao la abiria linabeba 120 PAX naona kapotea baada ya kuona doubledecker coach ikiwa na capacity ya 150 PAX!


Umeanza excuses tena?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Seating arrangements ya Kenyan SGR ndio hii hapa.

This is one coach.

View attachment 1850130
 
TBT: The Gautrain rail project



MY TAKE
Unfortunately the Gautrain is only 80 km!
Nyinyi hamna metro. Usilinganishe hiyo Dar Moro project yenu na Gautrain which is a Joburg city and Pretoria Urban metro train. Yenu ni a normal intercity SGR train. Hamna metro na hata sisi hatuna metro katika cities zetu. Ile siku Dar city itakuja kujenga urban metro around Dar city ndio uje kupost kuhusu Gautrain. Very few African cities zina urban metro.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…