Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

niletee renders mim nikuletee kitu kwa ground.. then unionyeshe tofauti uliopo..

pole, i thought you were talking what jubilee gvt did to you, homeless mayatima
View attachment 1854031
This is the render of Dodoma station, I hope you know what's on the ground.

2192546_IMG_6309.jpg
 
pole sana. i can see the pain in your comment
i won’t argue with you anymore mpka maumivu yaishe
Kuna wakati utafika Nairobi itaonekana kituko mbele ya Dar es Salaam!!!.Mapinduzi ya kiuchumi tunayoyaleta si lele mama!.Tunawika 🐓 si tu kwa Wakenya ila Africa nzima isikie!!!Sisi ndo wanaume!!!.
 
Apo ndio kinakuja kile kipengele cha maji kuitwa mmaa

pitia humu ucheke comments za wakenya [emoji23][emoji23][emoji23]

 
TBT: The Gautrain rail project




MY TAKE
Unfortunately the Gautrain is only 80 km!

Nyinyi hamna metro. Usilinganishe hiyo Dar Moro project yenu na Gautrain which is a Joburg city and Pretoria Urban metro train. Yenu ni a normal intercity SGR train. Hamna metro na hata sisi hatuna metro katika cities zetu. Ile siku Dar city itakuja kujenga urban metro around Dar city ndio uje kupost kuhusu Gautrain. Very few African cities zina urban metro.
 
Back
Top Bottom