Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
- Thread starter
-
- #11,501
kwenye clip the model is Hyundai Rotem ITX! Fool make use of google everything is there from horsepower to speed to everything!Tutajie model ya train za tz, mtu hata model hujui ni gaji alafu unakuja hapa kupayuka
BLADIFAKEN!!!
Kiko wapi sasa. Dua zenu wakunyalanda zimegonga mwamba!
Could be from Stadler View attachment 1854959
Kina video nyingine ya TRC TV inaonesha vizuri sana. Kutokana na maelezo ya kadogosa kunaweza kubase kila kitu2 Kutokana na hizi picha. Maana alikua anaelezea mpaka mabehewa na capacity zake.hapa kidogo nimeleewa.. it’s like mkataba wa kwanza ndo unakuwa na mabehewa mengi na electric vichwa vichache!?!?! (hio idadi imetajwa 55?.. hio idadi siisikii vizur)
mkataba wa pili na hyundai ndo una 10 units ya 8-cars-EMU na 17 electric locomotives (vichwa 17)
(kuhusu mkataba wa kwanza) lkn hii link wanasema 42.. Tanzania to receive first 42 Korean electric trains by November
which is which??
kutoka kampuni gani huko korea kusin? model gan?? hiv vitu wamevificha
Naona mumeni quote wengi, kumbe hata nyie hamjui[emoji1787][emoji1787]Umeamka uongezewe dawa?! [emoji382]
Mkataba wa kwanza kutakua na EMU kama 3 au 4, hivi wakati mkataba wa pili ndio hizo mchanganyiko wa EMU na MEMU jumla yake ni 10. Mainline EMU (MEMU) ni double decker, technically hizo ni kwa route ndefu/au Express, mfano DAR - DDM au DAR - MZA wakati EMU ni kwa ajili ya route fupi/au intercity kama DAR - MOR, au DOM - MOR etc.nilivyoelewa.. hyundai rotem wanaleta vichwa 17 na 10 units of EMU tu. (mkataba wa pili juzi)
hizo behewa zenye ghorofa nadhan zipo kwenye mkataba wa kwanza.. check alivyosema tukifunga mabahewa zaid ya 15 za ghorofa .. tutapata watu wangapi hapo .. so naweza kusema mabehewa mengi hata yale ya ghorofa yapo kwenye mkataba wa kwanza.. you can correct me or add some detail
in short wana-bore kama wameweka mkataba wa Hyundai Rotem mbona ule wa kwanza hawauweki wazi?hapa kidogo nimeleewa.. it’s like mkataba wa kwanza ndo unakuwa na mabehewa mengi na electric vichwa vichache!?!?! (hio idadi imetajwa 55?.. hio idadi siisikii vizur)
mkataba wa pili na hyundai ndo una 10 units ya 8-cars-EMU na 17 electric locomotives (vichwa 17)
(kuhusu mkataba wa kwanza) lkn hii link wanasema 42.. Tanzania to receive first 42 Korean electric trains by November
which is which??
kutoka kampuni gani huko korea kusin? model gan?? hiv vitu wamevificha
in short wana-bore kama wameweka mkataba wa Hyundai Rotem mbona ule wa kwanza hawauweki wazi?
Acha ubishi kijana, , yaani wewe huoni hata hao waandishi wa hio neno ya TRC wenye hawaelewi concept vizurii,ndio maana Masanja akasema nyingine ni double decker, bila kujua kuwa hizo ni Mainline EMU na ni kwa ajili ya long distance express services wakati EMU ni kwa safari za short to medium.nadhan upo nje sana ndugu
hawa ni TRC wenyewe wamesema (jozi/units 10 za EMU)..hizo memu wangesema
View attachment 1855386
hio 80 electric trains ni
10 units X 8 cars = 80 trains nimeielewa
afu usitumie neno kama.. sema precise details zenyewe.. ila achana nayo. tusubirie nov/dec
Mkataba wa kwanza ni kampuni gani mbona haitajwi? Ni siri?Mkataba wa kwanza kutakua na EMU kama 3 au 4, hivi wakati mkataba wa pili ndio hizo mchanganyiko wa EMU na MEMU jumla yake ni 10. Mainline EMU (MEMU) ni double decker, technically hizo ni kwa route ndefu/au Express, mfano DAR - DDM au DAR - MZA wakati EMU ni kwa ajili ya route fupi/au intercity kama DAR - MOR, au DOM - MOR etc.
Achana na waandishi wa magazetini hawajui vizuri hivi vitu, wao kila kitu wanasema ni electric trains, ndio maana walisema electric trains 80 badala ya kusema EMU/MEMU 10.
Tender ya kwanza walipelekwa mpaka mahakamani na kampuni moja ya wabongo wenye ubia na Warusi. Ndio maana ilichukua mda mrefu au ilifutwa kwa sababu kampuni iliyotangaza Tender, RAHCO haiko tena.in short wana-bore kama wameweka mkataba wa Hyundai Rotem mbona ule wa kwanza hawauweki wazi?
sasa naanza kupata mwanga kwahiyo kuna uwezekano wa vitu kushikiliwa?Tender ya kwanza walipelekwa mpaka mahakamani na kampuni moja ya wabongo wenye ubia na Warusi. Ndio maana ilichukua mda mrefu au ilifutwa kwa sababu kampuni iliyotangaza Tender, RAHCO haiko tena.
Order ndogo ya mwaka jana (EMU 3 au 4 hivi na locomotives chache) ni stop gap attempt kwa ajili ya commissioning ya kipande cha kwanza na cha pili , maana huwezi fanya Acceptance Test Procedure ( ATP) bila ya kuonyesha kuwa infrastructure, mifumo yote hadi treni zenyewe zinafanya kazi kama ilivyo kwenye mkataba.
Bila ya kuona watu wanapiga kelele hawataweka hadharani. Hata huu wa pili ulishafsbyika mda kidogo, hizo video sio za jana au juzi.Mkataba wa kwanza ni kampuni gani mbona haitajwi? Ni siri?
kampuni gani Ujerumani? Siemens au Stadler au Bombardier?Bila ya kuona watu wanapiga kelele hawataweka hadharani. Hata huu wa pili ulishafsbyika mda kidogo, hizo video sio za jana au juzi.
Anyway, mkataba wa kwanza ni hao hao wakorea kwa kiasi fulani na pia Wajerumani kwa kiasi fulani. Rolingstock zitakuwa ni mchanganyiko..Teknology ya kutunza umeme ni ya Wajerumani, so inawezekana EMU za mwanzo zikiwa ni za huko while locomotives za mwanzo zikwa ni za Korea.
Hahaha, usoni-quote vibaya mkuu, sitaki kuwa shahidi...sasa naanza kupata mwanga kwahiyo kuna uwezekano wa vitu kushikiliwa?
Stadler ndio tayari tuna uhusiano nao na ndio leader wa teknology ya kutunza umeme but siwezi ku confirm kama ndio wenye order..kampuni gani Ujerumani? Siemens au Stadler?
ohkStadler ndio tayari tuna uhusiano nao na ndio leader wa teknology ya kutunza umeme but siwezi ku confirm kama ndio wenye order..