Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

BLADIFAKEN!!!

Kiko wapi sasa. Dua zenu wakunyalanda zimegonga mwamba!

hapa kidogo nimeleewa.. it’s like mkataba wa kwanza ndo unakuwa na mabehewa mengi na electric vichwa vichache!?!?! (hio idadi imetajwa 55?.. hio idadi siisikii vizur)

mkataba wa pili na hyundai ndo una 10 units ya 8-cars-EMU na 17 electric locomotives (vichwa 17)

(kuhusu mkataba wa kwanza) lkn hii link wanasema 42.. Tanzania to receive first 42 Korean electric trains by November
which is which??
kutoka kampuni gani huko korea kusin? model gan?? hiv vitu wamevificha
 
Kina video nyingine ya TRC TV inaonesha vizuri sana. Kutokana na maelezo ya kadogosa kunaweza kubase kila kitu2 Kutokana na hizi picha. Maana alikua anaelezea mpaka mabehewa na capacity zake.
 
nilivyoelewa.. hyundai rotem wanaleta vichwa 17 na 10 units of EMU tu. (mkataba wa pili juzi)

hizo behewa zenye ghorofa nadhan zipo kwenye mkataba wa kwanza.. check alivyosema tukifunga mabahewa zaid ya 15 za ghorofa .. tutapata watu wangapi hapo .. so naweza kusema mabehewa mengi hata yale ya ghorofa yapo kwenye mkataba wa kwanza.. you can correct me or add some detail
Mkataba wa kwanza kutakua na EMU kama 3 au 4, hivi wakati mkataba wa pili ndio hizo mchanganyiko wa EMU na MEMU jumla yake ni 10. Mainline EMU (MEMU) ni double decker, technically hizo ni kwa route ndefu/au Express, mfano DAR - DDM au DAR - MZA wakati EMU ni kwa ajili ya route fupi/au intercity kama DAR - MOR, au DOM - MOR etc.

Achana na waandishi wa magazetini hawajui vizuri hivi vitu, wao kila kitu wanasema ni electric trains, ndio maana walisema electric trains 80 badala ya kusema EMU/MEMU 10.
 
hapa kidogo nimeleewa.. it’s like mkataba wa kwanza ndo unakuwa na mabehewa mengi na electric vichwa vichache!?!?! (hio idadi imetajwa 55?.. hio idadi siisikii vizur)

mkataba wa pili na hyundai ndo una 10 units ya 8-cars-EMU na 17 electric locomotives (vichwa 17)

(kuhusu mkataba wa kwanza) lkn hii link wanasema 42.. Tanzania to receive first 42 Korean electric trains by November
which is which??
kutoka kampuni gani huko korea kusin? model gan?? hiv vitu wamevificha
in short wana-bore kama wameweka mkataba wa Hyundai Rotem mbona ule wa kwanza hawauweki wazi?
 
sure, na ile ishu ya zinakuja ambazo zinauwezo wa kutembea kwa kutumia charge ya battery nadhan zipo kwenye huo mkataba wa kwanza .. maana hii issue wameongelea mara nying na mawaziri wengi even kbla ya mkataba huu wa juzi

mkataba wa kwanza sijui kuna upigaji[emoji854][emoji276]
 
nadhan upo nje sana ndugu
hawa ni TRC wenyewe wamesema (jozi/units 10 za EMU)..hizo memu wangesema
View attachment 1855386
hio 80 electric trains ni
10 units X 8 cars = 80 trains nimeielewa
afu usitumie neno kama.. sema precise details zenyewe.. ila achana nayo. tusubirie nov/dec
Acha ubishi kijana, , yaani wewe huoni hata hao waandishi wa hio neno ya TRC wenye hawaelewi concept vizurii,ndio maana Masanja akasema nyingine ni double decker, bila kujua kuwa hizo ni Mainline EMU na ni kwa ajili ya long distance express services wakati EMU ni kwa safari za short to medium.

NB Siku chache Kabla hata ya hii habari ya huu mkataba kua hadhari I nilishamjibu mwenzako Teargass kuwa trainset zetu zitakuwa na cars 8 hivyo zitakuwa trainset 10 au kama unavyoita "Jozi".... , just scroll few pages back.

Mkipunguza ubishi usio na maana mtajifunza mengi sana haoa jamvini....
 
Mkataba wa kwanza kutakua na EMU kama 3 au 4, hivi wakati mkataba wa pili ndio hizo mchanganyiko wa EMU na MEMU jumla yake ni 10. Mainline EMU (MEMU) ni double decker, technically hizo ni kwa route ndefu/au Express, mfano DAR - DDM au DAR - MZA wakati EMU ni kwa ajili ya route fupi/au intercity kama DAR - MOR, au DOM - MOR etc.

Achana na waandishi wa magazetini hawajui vizuri hivi vitu, wao kila kitu wanasema ni electric trains, ndio maana walisema electric trains 80 badala ya kusema EMU/MEMU 10.
Mkataba wa kwanza ni kampuni gani mbona haitajwi? Ni siri?
 
in short wana-bore kama wameweka mkataba wa Hyundai Rotem mbona ule wa kwanza hawauweki wazi?
Tender ya kwanza walipelekwa mpaka mahakamani na kampuni moja ya wabongo wenye ubia na Warusi. Ndio maana ilichukua mda mrefu au ilifutwa kwa sababu kampuni iliyotangaza Tender, RAHCO haiko tena.

Order ndogo ya mwaka jana (EMU 3 au 4 hivi na locomotives chache) ni stop gap attempt kwa ajili ya commissioning ya kipande cha kwanza na cha pili , maana huwezi fanya Acceptance Test Procedure ( ATP) bila ya kuonyesha kuwa infrastructure, mifumo yote hadi treni zenyewe zinafanya kazi kama ilivyo kwenye mkataba.
 
sasa naanza kupata mwanga kwahiyo kuna uwezekano wa vitu kushikiliwa?
 
Mkataba wa kwanza ni kampuni gani mbona haitajwi? Ni siri?
Bila ya kuona watu wanapiga kelele hawataweka hadharani. Hata huu wa pili ulishafsbyika mda kidogo, hizo video sio za jana au juzi.

Anyway, mkataba wa kwanza ni hao hao wakorea kwa kiasi fulani na pia Wajerumani kwa kiasi fulani. Rolingstock zitakuwa ni mchanganyiko..Teknology ya kutunza umeme ni ya Wajerumani, so inawezekana EMU za mwanzo zikiwa ni za huko while locomotives za mwanzo zikwa ni za Korea.
 
kampuni gani Ujerumani? Siemens au Stadler au Bombardier?
 
Back
Top Bottom