Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Uyo ndo alivyo huyo huwa anakurupuka tu ukimkamata anazuga, sasa eti anazuga kwamba kuna msamiati unaitwa "kujeuza" kwamba hyo kujeuzia alimaanisha parking, wallahi nimecheka kdg nianguke [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
😅😅😅 akili mzigo
 
The best 007 emu tuonyeshe hzo train za kujeuza[emoji1787][emoji1787]
Leo umeingia cha kike, km kitu hujui tua
Hehehehee unataka urekebishe upuuzi wako kwa gharama zangu mwehu wewe baki na ushamba wako [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
zenu bora ndo zile za ngazi za kichina za kupanda na kushuka! 🤣 🤣 🙆‍♂️
Nazungumzia aesthetics yaani muonekano na size pia. Angalia station kama pugu, ni ndogo kama choo. Halafu isipokuwa station ya Dar na Moro hizo zingine zote zinafanana. Very lazy designing as always. Stations zenu karibu zote zinafanana halafu ni ndogo ajabu. Hakuna station ya Kenya ambayo inafanana na nyingine. Kila station ni tofauti na ina design tofauti. Ukweli haupingiki. Mligongwa sana kwenye stations.
 
Our stations were built according to demand.
 
Our stations were built according to demand.
Wacha excuses. Tanzania mnajenga stations ndogo halafu mnasingizia demand. Hivi umesahau Tanzania mnakaribia watu 60 million? Mpo wengi hata kutushinda. Wacha excuses. Halafu stations karibu zote zina design moja. Lazyland kwa ubora wenu
 
Wacha excuses. Tanzania mnajenga stations ndogo halafu mnasingizia demand. Hivi umesahau Tanzania mnakaribia watu 60 million? Mpo wengi hata kutushinda. Wacha excuses. Halafu stations karibu zote zina design moja. Lazyland kwa ubora wenu
I can assure u ur Naivasha PAX station and so many btn Mombasa and Nairobi r underutilized!

Kenya opens $1.5 billion Chinese-built railway linking Rift Valley town and Nairobi​

By Duncan Miriri
4 MIN READ

NAIVASHA, Kenya (Reuters) - Kenya’s opened a $1.5 billion Chinese-built railway line linking Nairobi to Naivasha on Wednesday, despite delays in building an industrial park in the Rift Valley town to encourage freight.

The extension links to another Chinese funded and built $3.2 billion line between the port of Mombasa and Nairobi that opened in 2017 but is so far underutilized for cargo services.

Upgrading Kenyan railways has been part of Beijing’s “One Belt, One Road” initiative, multi-billion dollar infrastructure projects aimed at improving land and maritime trade routes between China and Europe, Asia and Africa.

Kenya had planned to open an industrial park in Naivasha, offering companies tax breaks for investing in manufacturing, and preferential tariffs for electricity generated in the nearby geothermal fields. But that has been delayed.

The railway was a pet project of President Uhuru Kenyatta who opened the extension on Wednesday.

Kenyatta was re-elected for a five-year term in 2017 after promising to develop the East African nation’s infrastructure, but it has been dogged by problems.

In April, China refused to fund the planned $3.7 billion extension from Naivasha to the Ugandan border town of Malaba.

Transport Minister James Macharia said then that the government would spend $210 million to rehabilitate the colonial-era Malaba line instead.

Kenyatta rejected criticism of his plans, likening suggestions that the new railway was to “nowhere” to criticism of the original Uganda-Kenya railway by politicians during the British colonial era, who called it the “lunatic express”.

“Those who think they will take us backwards, they should leave Kenya and look for another country,” Kenyatta said as he opened the new railway.

Wu Peng, the Chinese ambassador to Kenya, said the railway from Mombasa had already had a positive impact on the economy, citing tourism, investments and communications.

“More jobs will be created,” Wu said at the same ceremony.

TOO EXPENSIVE​

Many importers say the new Mombasa to Nairobi railway is too expensive to move freight and have been angered by government attempts to force them to use it.

It costs about $800 to truck a container from Mombasa to Nairobi, but $1,100 by rail, mainly due to extra costs for moving goods from the rail terminus to an inland depot.

Some Naivasha residents questioned the government’s priorities.

“Even as they build the railway, they should also repair this road,” Dominic Njogu, a 35-year-old “bodaboda”, slang for motorbike, driver, said of the road serving tourist resorts, flower farms and Naivasha itself.

“It is full of big potholes and we have even lost some lives as cars and motorbikes swerve to avoid the holes.”

Government borrowing has been ramped up to fund the railway and other projects such as roads. Total public debt stands at about 55% of GDP, up from 42% when Kenyatta took power in 2013.

Last week, parliament raised the government’s debt ceiling to 9 trillion shillings ($87 billion) after it came close to hitting the earlier limit of 6 trillion shillings.

Lee Kinyanjui, the governor of Nakuru county which includes Naivasha, said the arrival of the railway will spur investments.

“We have eight major companies who want to come set up here in Naivasha,” Kinyanjui told the ceremony at the Mai Mahiu station near Naivasha, without specifying which ones.

He also said the line will help boost transport infrastructure in the region and lower costs for farmers.

Reporting by Duncan Miriri; Editing by Katharine Houreld, Omar Mohammed and Alexander Smith

Our Standards: The Thomson Reuters Trust Principles.


 
Wacha excuses. Tanzania mnajenga stations ndogo halafu mnasingizia demand. Hivi umesahau Tanzania mnakaribia watu 60 million? Mpo wengi hata kutushinda. Wacha excuses. Halafu stations karibu zote zina design moja. Lazyland kwa ubora wenu

Mzee usitake tulingane nyinyi mmewekeza hela nyingi kwenye kujenga mistesheni mikubwa kwa gharama kubwa kwenye maeneo ambayo hayana watu wengi, ilhali sisi tumesave izo gharama kwa kujenga maeneo ya kupakulia mizigo
 
Stations za Kichina nyingi zina kupanda stairs na kushuka ili kuaccess train. Hio ni design tu, isiwe issue kubwa. Cha muhimu ni kufahamu kuwa stations za Kichina ni beautiful, big, spacious and very modern. Tazama hii station ya Lagos SGR. By the way inafanana na ya Kenya kwa kiasi fulani. Hata wao wana stairs ya kupanda na kushuka ili kuaccess train.

Lakini hio train ya Wanigeria ina viti vibaya sana. Very ugly seats. Tuambiane tu ukweli. Sijui nani aliamua kuweka covers kwenye hizo seats. Wangeziwacha bila covers.
 
Wacha excuses. Tanzania mnajenga stations ndogo halafu mnasingizia demand. Hivi umesahau Tanzania mnakaribia watu 60 million? Mpo wengi hata kutushinda. Wacha excuses. Halafu stations karibu zote zina design moja. Lazyland kwa ubora wenu
Dont talk like you know things. There are several small townships between Dar and Moro the population in these areas is not that big hence big stations are a waste of public money. Common sense dictates that no mistakes can be made in the construction of an actual railway as it may be costly to rectify later on but buildings can be expanded on demand.
 
Niliwaambia haya mambo lkn wanajifanya wehu kuna mmoja anakwambia eti gharama ya kuboresha stesheni ni kubwa kuliko kuboresha reli, nikamwacha na ujinga wake.
 
Hivi unajua kila PAX station electrical SGR Tanzania ina cargo Terminal pia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…