Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
- Thread starter
- #11,621
This is what Kunyaland had to get from China as far as value for money is concerned!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😅😅😅 akili mzigoUyo ndo alivyo huyo huwa anakurupuka tu ukimkamata anazuga, sasa eti anazuga kwamba kuna msamiati unaitwa "kujeuza" kwamba hyo kujeuzia alimaanisha parking, wallahi nimecheka kdg nianguke [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hehehehee unataka urekebishe upuuzi wako kwa gharama zangu mwehu wewe baki na ushamba wako [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]The best 007 emu tuonyeshe hzo train za kujeuza[emoji1787][emoji1787]
Leo umeingia cha kike, km kitu hujui tua
zenu bora ndo zile za ngazi za kichina za kupanda na kushuka! 🤣 🤣 🙆♂️Stations zenu ni mbovu. Kubali tu yaishe.
Hivi nini maana ya umeingia cha kike? Swali tu.The best 007 emu tuonyeshe hzo train za kujeuza[emoji1787][emoji1787]
Leo umeingia cha kike, km kitu hujui tua
Nazungumzia aesthetics yaani muonekano na size pia. Angalia station kama pugu, ni ndogo kama choo. Halafu isipokuwa station ya Dar na Moro hizo zingine zote zinafanana. Very lazy designing as always. Stations zenu karibu zote zinafanana halafu ni ndogo ajabu. Hakuna station ya Kenya ambayo inafanana na nyingine. Kila station ni tofauti na ina design tofauti. Ukweli haupingiki. Mligongwa sana kwenye stations.zenu bora ndo zile za ngazi za kichina za kupanda na kushuka! 🤣 🤣 🙆♂️
Kama chinese temples [emoji23][emoji23][emoji23]zenu bora ndo zile za ngazi za kichina za kupanda na kushuka! [emoji1787] [emoji1787] [emoji2297]
Our stations were built according to demand.Nazungumzia aesthetics yaani muonekano na size pia. Angalia station kama pugu, ni ndogo kama choo. Halafu isipokuwa station ya Dar na Moro hizo zingine zote zinafanana. Very lazy designing as always. Stations zenu karibu zote zinafanana halafu ni ndogo ajabu. Hakuna station ya Kenya ambayo inafanana na nyingine. Kila station ni tofauti na ina design tofauti. Ukweli haupingiki. Mligongwa sana kwenye stations.
Wacha excuses. Tanzania mnajenga stations ndogo halafu mnasingizia demand. Hivi umesahau Tanzania mnakaribia watu 60 million? Mpo wengi hata kutushinda. Wacha excuses. Halafu stations karibu zote zina design moja. Lazyland kwa ubora wenuOur stations were built according to demand.
I can assure u ur Naivasha PAX station and so many btn Mombasa and Nairobi r underutilized!Wacha excuses. Tanzania mnajenga stations ndogo halafu mnasingizia demand. Hivi umesahau Tanzania mnakaribia watu 60 million? Mpo wengi hata kutushinda. Wacha excuses. Halafu stations karibu zote zina design moja. Lazyland kwa ubora wenu
Si tu kuwa underutilized sinawapa pia unnecessary cost ya maintenance!I can assure u ur Naivasha PAX station and so many btn Mombasa and Nairobi r underutilized!
Wacha excuses. Tanzania mnajenga stations ndogo halafu mnasingizia demand. Hivi umesahau Tanzania mnakaribia watu 60 million? Mpo wengi hata kutushinda. Wacha excuses. Halafu stations karibu zote zina design moja. Lazyland kwa ubora wenu
Dont talk like you know things. There are several small townships between Dar and Moro the population in these areas is not that big hence big stations are a waste of public money. Common sense dictates that no mistakes can be made in the construction of an actual railway as it may be costly to rectify later on but buildings can be expanded on demand.Wacha excuses. Tanzania mnajenga stations ndogo halafu mnasingizia demand. Hivi umesahau Tanzania mnakaribia watu 60 million? Mpo wengi hata kutushinda. Wacha excuses. Halafu stations karibu zote zina design moja. Lazyland kwa ubora wenu
Niliwaambia haya mambo lkn wanajifanya wehu kuna mmoja anakwambia eti gharama ya kuboresha stesheni ni kubwa kuliko kuboresha reli, nikamwacha na ujinga wake.Dont talk like you know things. There are several small townships between Dar and Moro the population in these areas is not that big hence big stations are a waste of public money. Common sense dictates that no mistakes can be made in the construction of an actual railway as it may be costly to rectify later on but buildings can be expanded on demand.
Stations za Kichina nyingi zina kupanda stairs na kushuka ili kuaccess train. Hio ni design tu, isiwe issue kubwa. Cha muhimu ni kufahamu kuwa stations za Kichina ni beautiful, big, spacious and very modern. Tazama hii station ya Lagos SGR. By the way inafanana na ya Kenya kwa kiasi fulani. Hata wao wana stairs ya kupanda na kushuka ili kuaccess train.
Lakini hio train ya Wanigeria ina viti vibaya sana. Very ugly seats. Tuambiane tu ukweli. Sijui nani aliamua kuweka covers kwenye hizo seats. Wangeziwacha bila covers.