Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
- Thread starter
-
- #11,841
na kwa MGR zipo? Au MGR haimo kwenye hiyo corridor na nani kakuambia ikijengwa barabara kutakuwa na overpass kote wakati hii yao ya sasa ambayo una-suggest wapewe Tanroads for public uses inakatiza kwenye hata SGR yenyewe! Angalia clips uone!overpass/underpass si zipo au zitakuwepo
60 m corridor? mshikaji nakudharau kwa hili! That's narrow thinking na unashindwa kujua impact yake! Nimekuambia think of 30 years to come! Unafikiria hapo ndo mwisho wa railway development! Mimi nashauri waongeze from 60-100 m corridor for only TRC for strategic reasons!for a new road corridor
tanroads wajitafutie ardhi yao na si kwenda kuchukua ya TRC! Kitu kina single line tayari mnaanza kukimezea mate! What if kunatokea idea ya MAGLEV trains? Unajua miaka 50 ijayo kutakuwa na uhitaji gani? imagine hii ardhi panapojengwa SGR isingekuwa protected kisheria, fidia ingekuwa ngapi?for a new road corridor
Kwn uongo[emoji1787][emoji1787]mizigo mingi ya tanzania ni ya dar sio eti nimeona, huo ni ukweli usiopingika banaAmeona huwa tunasema mizigo mingi ya Mombasa port ni ya Nairobi naye amekuja na yake [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tatizo mbona hapo pa mizigo mingi ni ya wapi umebaki kujiongelesha mwenywe[emoji1787][emoji1787]wanajikuta much know.. kungekuwa na namna ya kutuma voice notes humu ninfewatumia
kwenye chatting
View attachment 1862576
View attachment 1862577
View attachment 1862578
kuna sehem kwenye voice note kasema, malori mengi saiz hayafiki Dar kuchukua mizigo ambayo si ya Dar, yanaenda kwala dry.. akasema ndo mana saiz Dar hakuna malory mengi ila ukienda huko kwala kuelekea vigwaza (inapokutana na morogoro rd) utakuta malory kibao.. na muda huu kampuni ya estim (inayotengeneza kibamba highway) ndo inajenga barabara kutoka kwala kwenda vigwaza..
lkn much knows kutoka kenya ambae hajawah kufika hata mpkan mwa Tanzania na kenya atakuambia mizigo yote ni ya Dar
- kuongezea akasema malori ambayo mizigo yake ni nje ya Dar na ambayo yanafika Dar port ni malori ya mafuta tu.
Marshalling yard 92km away[emoji1787][emoji1787][emoji1787]kisumu mpakani mwa zambia na msumbiji
Hehee!!jamaa wamepigwa aiseeSasa Kuna reli gani ya mizigo ikajengwa alafu ikawa hakuna Dry port. Ushamba nayo! Know how to reason bana!
Tatizo tulio nayo ni kwamba mizigo inatolewa Dar port na kupelekwa 100km from the port to a dry port, Kisha itolewe hapo ndo ipelekwe 6 km to a marshaling yard, baada ya hio process yote ndo safari rasmi ya kuanza kusafirisha mizigo kwenda bara kupitia SGR ianze...
Kwa Sasa usijifanye kijuaji, sikiza sisi ambao ndo tuko na functional SGR ambapo tushapitia haya mambo hadi ikabidi turekebishe mengine... I am telling you, your process will waste alot of time and money... Mwenye anabeba kontena kutumia lory atakua anaingia hadi ndani ya port na kupakia mzigo na kuanza safari ya kuenda morogoro, 6hrs later atakua alifika,wakati huo huo kontena ya kupitia SGR itakua bado iko pale Ruvu marshaling yard inangojea shunting alafu ndo treni ikijaa inakimbizwa kwa 120km/hr (too late, lorry la 40km/hr litakua lilishaondoka asubuhi na mchana lilishafika Moro )
Mwanzo wacha hata nipige screenshot hii comment, nitakuja kukuonyesha 8-12 monthsfrom now.
Kakojoe ulale weweHujui unachozungumza wewe
Watakuja kuelewa tu Ngoja,Hehee!!jamaa wamepigwa aisee
Ndio nlikua kila siku nawaambia hayo mabwege lkn bado wamengangania ujinga, sasa we cheki hzo process zote alafu hapo jamaa watakuja jitia ujuajiWatakuja kuelewa tu Ngoja,
Mzigo kupakiwa kwa mgr hapo port ni garamara.
Kusafirisha 91km hadi kwa dry port ni garama Nyengine.
Kushukishwa kutoka kwa mgr na kupakiwa kwa SGR ni garama.
Kupelekwa hadi marshaling yard na kupangwa kwa the right train ni garama Nyengine...
All this for what? You could have easily loaded the containers from the ship to the SGR connected right within the port area and avoided all these hidden costs and made it very cheap to use the SGR... Hawa jamaa hawajui wanajisubbotage wenyewe bila sababu ya maana.
Yale mambo ya good for nothing [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]This Voi station is better than all Tanzanian SGR stations.
View attachment 1866323View attachment 1866324View attachment 1866325View attachment 1866327
Mambo ya stations mlilose nayo hopes kabisa😂😂😂Yale mambo ya good for nothing [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
halafu bsiku zote ziko empty!Yale mambo ya good for nothing [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acha ushamba nyie marshalling yard na dry port vipo adjacent to each other both are served with rail link.Hehee!!jamaa wamepigwa aisee
Yes tutakuja kuelewa tuu kama tulivyoelewa kwenye jointed rail, diesel locomotives and now marshalling yard and dry port. Guess who will have the last laugh?Watakuja kuelewa tu Ngoja,
Mzigo kupakiwa kwa mgr hapo port ni garamara.
Kusafirisha 91km hadi kwa dry port ni garama Nyengine.
Kushukishwa kutoka kwa mgr na kupakiwa kwa SGR ni garama.
Kupelekwa hadi marshaling yard na kupangwa kwa the right train ni garama Nyengine...
All this for what? You could have easily loaded the containers from the ship to the SGR connected right within the port area and avoided all these hidden costs and made it very cheap to use the SGR... Hawa jamaa hawajui wanajisubbotage wenyewe bila sababu ya maana.
Watanzania hawataki stesheni za kupanda na kushuka ndio manake wakaamua kujengewa vyoo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]halafu bsiku zote ziko empty!