Sasa Kuna reli gani ya mizigo ikajengwa alafu ikawa hakuna Dry port. Ushamba nayo! Know how to reason bana!
Tatizo tulio nayo ni kwamba mizigo inatolewa Dar port na kupelekwa 100km from the port to a dry port, Kisha itolewe hapo ndo ipelekwe 6 km to a marshaling yard, baada ya hio process yote ndo safari rasmi ya kuanza kusafirisha mizigo kwenda bara kupitia SGR ianze...
Kwa Sasa usijifanye kijuaji, sikiza sisi ambao ndo tuko na functional SGR ambapo tushapitia haya mambo hadi ikabidi turekebishe mengine... I am telling you, your process will waste alot of time and money... Mwenye anabeba kontena kutumia lory atakua anaingia hadi ndani ya port na kupakia mzigo na kuanza safari ya kuenda morogoro, 6hrs later atakua alifika,wakati huo huo kontena ya kupitia SGR itakua bado iko pale Ruvu marshaling yard inangojea shunting alafu ndo treni ikijaa inakimbizwa kwa 120km/hr (too late, lorry la 40km/hr litakua lilishaondoka asubuhi na mchana lilishafika Moro )
Mwanzo wacha hata nipige screenshot hii comment, nitakuja kukuonyesha 8-12 monthsfrom now.