Upuuzi wa 86 km, 6km tumeanza kuona na kwenu[emoji1787][emoji1787]Acha ushamba nyie marshalling yard na dry port vipo adjacent to each other both are served with rail link.
Acha hasira wewe, hapo mume chengwa ni lazima mkubali tu..Yes tutakuja kuelewa tuu kama tulivyoelewa kwenye jointed rail, diesel locomotives and now marshalling yard and dry port. Guess who will have the last laugh?
wacheni ujuaji! Huo ujuaji wenu unge-stop-isha Uhuruto kuleta mitambo ya chang'aa at overcharged prices!Acha hasira wewe, hapo mume chengwa ni lazima mkubali tu..
Miaka yote hyo kumbe jamaa anaenda kuwajengea vitu visivyoingia akilini
Hizi ndio zile stesheni kubwakubwa ambazo watanzia walizikataa zijengwe kule pugu[emoji1787][emoji1787]View attachment 1866773
Bwahaha!!uneaksirika sio baada ya kuona km jamaa anafanya ujinga na kuwacheza shereCan you show me where is the cargo terminal for each of ur SGR Kunyaland's terminus?
Value for money! [emoji116]
See cargo storage shade and terminal with a dedicated rail track aside. See also an overpass to link trucks that will be coming to drop and collect cargo!
MY TAKE
SGR Kunyaland huwezi kukuta vitu kama hivi maana designers waliweka akili matakoni!
Umeanza kuleta hasira sasawacheni ujuaji! Huo ujuaji wenu unge-stop-isha Uhuruto kuleta mitambo ya chang'aa at overcharged prices!
Hzo gharama zote atalipia nani, yani ni mwendo wa kupakia na kupakua tu..kisha eti watanzania wanataka kuja kushindana na akili kubwa..hapa najua kuna mtu atakuja kumwaga povu lkn ukweli mchungu sanaAcha ushamba nyie marshalling yard na dry port vipo adjacent to each other both are served with rail link.
Kwahiyo wewe una akili kuliko TRC.Watakuja kuelewa tu Ngoja,
Mzigo kupakiwa kwa mgr hapo port ni garamara.
Kusafirisha 91km hadi kwa dry port ni garama Nyengine.
Kushukishwa kutoka kwa mgr na kupakiwa kwa SGR ni garama.
Kupelekwa hadi marshaling yard na kupangwa kwa the right train ni garama Nyengine...
All this for what? You could have easily loaded the containers from the ship to the SGR connected right within the port area and avoided all these hidden costs and made it very cheap to use the SGR... Hawa jamaa hawajui wanajisubbotage wenyewe bila sababu ya maana.
Kwahiyo wanapanda na kushuka ili wakapende hili dude [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Watanzania hawataki stesheni za kupanda na kushuka ndio manake wakaamua kujengewa vyoo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1866758View attachment 1866759View attachment 1866761View attachment 1866762View attachment 1866769View attachment 1866770
Amekasirika[emoji1787][emoji1787]Kwahiyo wanapanda na kushuka ili wakapende hili dude [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1867978
Kwahiyo wanapanda na kushuka ili wakapende hili dude [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1867978
TRC wangelikua na akili mradi sai ungelikua unafanya kaziKwahiyo wewe una akili kuliko TRC.