Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
- Thread starter
-
- #12,041
mimi sioni tofauti kati ya design ya mwanzo na ya sasa! Design ni ile ile unless kuwe na picha ya kuonyesha hamna gap btn the pylones! still kutakuwa na blue steels bars kuunganisha hizo piers!
Nadhani ilishushwa sababu ya issue ya aliment na kukasemekan kuna future flyoverkwan complete design ya hii ikoje.. ile ya mwanzo cable stayed si ilivunjwa
Haujawahi kuona haya mambo ndo maana bado uko na ushamba navyo, vile ilivyo hapo kwa picha, only one track (hio ya Kwanza) ndo inaweza kutumika kushukishwa mizigo kutoka kwa reli , hizo track za katikati haziwezi kutumika kushukisha Wala kupakia mizigo.pale mkunya anapojifanya kipofu wakati hamna station hata moja kule Kunyaland yenye dedicated cargo terminal! That SGR station is to have 5 rail tracks one for each terminals i.e. cargo and passenger and 3 for passing trains!
View attachment 1894308
View attachment 1894309
View attachment 1894311
Hehe, Mombasa port handles double your cargo and you have the audacity to even imagine that your marshaling yard is bigger than ours, wah!? Kwanza unajua Marshalling yard Mombasa ni mbili? The one with red gantry cranes belongs to CRBC it is like 1 km away from the port, but there is another one with blue gantry cranes that belongs to KPA...Ruvu's marshalling yard
VS
SGR Kenya's Kilindini Marshalling yard!
MY TAKE
yajayo yanafurahisha
So one track kushukisha mizigo kwenye dedicated terminal ?wap kumeandikwa hizo za kati ni za kushushia mizigo.. hujui kusoma?
Haujawahi kuona haya mambo ndo maana bado uko na ushamba navyo, vile ilivyo hapo kwa picha, only one track (hio ya Kwanza) ndo inaweza kutumika kushukishwa mizigo kutoka kwa reli , hizo track za katikati haziwezi kutumika kushukisha Wala kupakia mizigo.
Ningesema labda kue na gantry crane ambayo itakua inabeba contena juu kwa juu from any track but Kuna nyaya za stima juu ya kila reli so that's not possible...
roho inamuuma ile first class yao haina vitu kama hivi yaani hapa SGR Tanzania itabeba mpaka livestocks! Yaani wanapanda kwenye mabehewa wanapelekwa sokoni/mnadani/machinjioni![emoji23][emoji23]afadhar umeleta hio picha ya mwisho ili aelewe nilichomweleza.. jamaa anajikuta mjuaji kwa kuielezea sgr system yao kwa sgr system yetu[emoji23]
mchina kawapiga afu kawadanyanga eti ni chinese class one.. mpk leo wanaamin hivyo[emoji52]
kwan complete design ya hii ikoje.. ile ya mwanzo cable stayed si ilivunjwa
Kwa jinsi nilivyoona kwa macho ya kawaida ni kama iko vile vile ila nguzo naona kama zimerudishwa nyuma zaidi.
Twende nao taratibu, wenzetu hawa bado ni washamba wa reli na treni ya umeme, kwahiyo hawajui mambo mengi mno kuhusu electrical SGR, so twende nao taratibu mkuu wataelewa kdg kdg hvyo hvyo kwa kupenda kujifanya wajuaji.[emoji23][emoji23]afadhar umeleta hio picha ya mwisho ili aelewe nilichomweleza.. jamaa anajikuta mjuaji kwa kuielezea sgr system yao kwa sgr system yetu[emoji23]
mchina kawapiga afu kawadanyanga eti ni chinese class one.. mpk leo wanaamin hivyo[emoji52]