Ngokongosha
JF-Expert Member
- Feb 9, 2011
- 3,400
- 7,608
Mkataba ulitiwa saini 2013, reli ilianza kujengwa mwaka mmoja baadae mwisho wa 2014...
Alafu hapo unaposema mnamiliki reli...kwa faida ya nani? au ni kwa faida ya kujigamba tu? manake kama ni kutoa huduma, reli zote zitatoa huduma na kurahisisha uchukuzi.... Tofauti ni kwamba wakati nyinyi nalipia cash ujenzi wa phase 1 , na wakati huo huo bajeti ya elimu ni chini ya $1B ilhali mnawanafunzi wengi kutuliko... kwa upande mwengine Kenya imekopa kujenga reli lakini elimu ina bajeti ya $2.4B....
matokeo ni kwamba miaka 20 baadae, Kenya itakua ililipa deni kwa wachina na pia wananchi wamebobea taaluma mbali mbali kutoka madaktari, walimu, architects..etc ilhali Tz watakua walimiliki reli tangu jadi lakini collective IQ ya umati itakua bado iko chini.... tanzania ya viwanda itaakua bado ni msemo tu manake wafanyikazi bado bongolala unachukua miezi sita kuwafundisha kitu cha wiki moja!
$3.8B/ $300million = 12.6 years.
$9B/ $300million = 30 years
Mngekuwa mnapata elimu nzuri huko kwenu mchina asingewaingiza mkenge, kuliko kupigwa pesa nyingi halafu unaletewa treni ya 1970's, eti china class 1. Labda ndio maana mmeamua kuweka pesa nyingi kwenye elimu baada ya kugundua kuwa hamna elimu nzuri.