Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Bwahahaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hyo inaonyeshe ni jinsi gani nchi ilivyokua nyuma ndio manake mpo ldc
Hujielewi hujui Tanzania ina matajiri wengi na watu hawafi na njaaa kama nyie haiwezekani nchi zaidi ya Asilimia 85 ina umeme alafu wateja ni 2.7m
 
Nchi zinazoongoza Kwa Access ya umeme afrika ni Tanzania na Nigeria nyie bado Sana mko nyuma Sana alafu bado mnakufa Kwa njaa
Hehehe!!access ya umeme kenya bro sai hta watu wamesahau manake almost karibia kote umeme umekua installed mzee..
Ndio manake kenya ndio kinara east africa katika mambo ya connectivity
 
Hujielewi hujui Tanzania ina matajiri wengi na watu hawafi na njaaa kama nyie haiwezekani nchi zaidi ya Asilimia 85 ina umeme alafu wateja ni 2.7m
Kamwambie waziri mzee acha kulia lia hku km mtoto, jamaa mnajitia kujua hata kuliko waziri...
Tanzania inavyopenda sifa eti wapunguze idadi ya customers..
Hapo waziri katangaza kw kujishaua hku akifikiri hyo namba ni kubwa kumbe alisahau km kuna watu hzo numbers walipita kitambo
 
Hujielewi hujui Tanzania ina matajiri wengi na watu hawafi na njaaa kama nyie haiwezekani nchi zaidi ya Asilimia 85 ina umeme alafu wateja ni 2.7m
2017 hyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Watu si wanaumia jamani
 
MY TAKE
The distance between Tanga to Kigali keeps getting shorter! It has to be noted the distance between Mombasa and Kampala is equal to the distance between Tanga and Kampala. Not to forget the 3.2 km JPM's Kigongo-Busisi bridge will even shorten the distance!

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…