Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Vipi mkunya, hutaki tena kuongea Kwa data? Share data bhana za NBS acha kulia lia hapa.

Sent from my BLA-L29 using JamiiForums mobile app
 
Weka link otherwise I don't trust you
 
Acha uongo wewe. Eti Wode Maya alifukuzwa China.

Hebu leta proof hapa kabla sijakuita muongo.
 
Wadau kuna issue ina ni mix kidogo mweyne clarification labda Simon Geza Ulole mnisaidie last year TRC ordered Electric Locomotives worth 60 mil usd from Germany and south korea....kuna sehemu nimesoma tumeorder 6 Electric Locomotives which are Euro Stadler....je hizo locomotives nyingne zitakuaa ngap na fro. the 1st order ?? ya 60 mil usd

Najua 2nd order ya Hyundai Rotem ni 10 EMUs with 8 rail cars each making a total of 80 rail cars worth 190 mil usd and 17 electric locomotives worth 105 mil usd

hii first order sijaieleawa mtu yeyote anieleweshe
 
Hii first order naona imefanywa kimyakinya na nina mashaka nayo sana na inawezekana wakati kuna mgogoro wa tender baada ya mkandarasi mmoja kulalamika tender ikarudiwa na kuchelewesha zoezi kama zaidi ya mwaka serikali ikaingia mkataba wa kuagiza trains lakini information zake hazipo kabisa ila tumeona Sung Shin Rolling Stock ya Korea wanatengeneza passengers coaches 59 na zitavutwa na locomotives from Germany ili kuanza huduma haraka ila za korea ambazo ni EMU zitakuja baadae kidogo.
 
sina uhakika!
 
Mkataba wa pili wa korea una 10 emus each 8 rail cars na 17 electric locomotives hizi ndo za kuvuta mabehewa

Mkataba wa kwanza ukikuwa unasema wameagiza kutoka Germany na Skorea 22 Locomotives na Mabehewa 1430...labda ni mixed orders ila na jua Wa Germany kuna tetesi wanasema ni Euro stadler ziko 6 ..amabzo ni dual yani Electric na Disel..sasa hizo 16 zilizobaki sina uhakika kama zote ni za South korea au la..

 
TRC hawajajipanga too much conflicting information kwenye vitu vikubwa kama hivi sijui kwanini mambo wasiweke wazi wanaficha nini au kuna upigaji?
 
TRC hawajajipanga too much conflicting information kwenye vitu vikubwa kama hivi sijui kwanini mambo wasiweke wazi wanaficha nini au kuna upigaji?
Hii ni video ya 2 years ago lakin..sema wawe wazi tujue total EMUs na Electric locos fron Germany ad South Korea ni ngapi..in total are the 42 ??or what lets wait and see
 
Kenya freight trains 80km/hr is the average speed! Jipange vizuri alafu ndo urudi tena
 
Weka link otherwise I don't trust you
Acha uongo wewe. Eti Wode Maya alifukuzwa China.

Hebu leta proof hapa kabla sijakuita muongo.
Eti nyinyi ndo mnajifanya mashabiki wa Wode Maya na hamjui story yake, what a shame... We unafikiria kwanini Wode Maya hua anakasirika akitembelea nchi ya kiafrica alafu asimamiswe na polisi na kupigwa,kutukanwa au hata kufukuzwa wakati kule China alikofukuzwa Wachina walikua hawabagui kulingana na nchi uliotoka, mtu yoyote mweusi anabaguliwa ...


Anyway, mpaka nipitie video kadhaa zake ndo nipate tena hio sehemu akieleza hio story, sijui kama nikiwaletea hio video ndo mtanilipa nini manake mnanipa kazi ya Bure. Je nikiwaletea ushahidi mtaomba msamaha kwa ku suggest kwamba mi muongo?
 
BTW hii picha ilikua sijaiangalia vizuri, were it not for the tiny yellow structures/houses, unaweza fikiria hii picha imepigwa somewhere in a 1st world country..

Vitu vingi tuu ukiacha hivyo vibanda hapo vinaonesha hiyo pic haiko kwenye first world country ukitizama kwa umakini utaona ni jointed rail ambayo vilevile haina catenary cables ambazo ni norm kwa nchi za wenzetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…