Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Freight top speed ni 100km, average speed is 80km/hr. So your calculations are based on wrong assumptions!
[emoji28] usinichekeshe mie eti top speed ya 100kph. We all know capabilities za DF 11 locos. Sustained speed 57kph these engines were produced beteen 1992-2005 no wonder you bought them in 2017 raw deal for you.
 
Hyo amesomea kila kitu bana[emoji1787][emoji1787]
 
Vitu vingi tuu ukiacha hivyo vibanda hapo vinaonesha hiyo pic haiko kwenye first world country ukitizama kwa umakini utaona ni jointed rail ambayo vilevile haina catenary cables ambazo ni norm kwa nchi za wenzetu.
Jointed pia first world zipo acha ushamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…